Yani mtumishi wa Serikali hakai ofisini anaenda kuuza sura

Yani mtumishi wa Serikali hakai ofisini anaenda kuuza sura

Unajuaje kua hapo amekwanda kwa ajili ya kupiga stori na sio pengine kwa kazi fulani?

Vipi kama huyo ni dereva tu na hapo ameomba tu ruhusa kwa kazi yake binafsi mara moja kwenye ofisi hiyo?

Nauliza tu lakini.
 
Back
Top Bottom