Yani mtumishi wa Serikali hakai ofisini anaenda kuuza sura

Unajuaje kua hapo amekwanda kwa ajili ya kupiga stori na sio pengine kwa kazi fulani?

Vipi kama huyo ni dereva tu na hapo ameomba tu ruhusa kwa kazi yake binafsi mara moja kwenye ofisi hiyo?

Nauliza tu lakini.
 
DFPA sio gari za serikali 100% , punguza wivu mtoร  mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ