Yani sina humu nae kabisa

Muambie mpz nataka tusaidiane hili tatizo letu na tusiwe na aibu twende kwa dactor NAKUPENDA SANA NA SITAKI TUACHANE KISA TATIZO AMBALO LINASOLVIKA mwaaaa na ka kiss kakumjambisha.
 

Shukrani mkuu sasa kama atakuwa mgonjwa wa fangasi si atakuwa ashaniambukiza na mimi? Make huwa tunapekuwa
 

Barikiwa mrembo
 
Muambie mpz nataka tusaidiane hili tatizo letu na tusiwe na aibu twende kwa dactor NAKUPENDA SANA NA SITAKI TUACHANE KISA TATIZO AMBALO LINASOLVIKA mwaaaa na ka kiss kakumjambisha.

Teh teh teh nmependa ushauri wako mkuu
 
Fuata ushauri wa masai dada umekaa poa. Then mwambie asioshe tunda yake kwa sabuni yoyote ile bali awe anaosha kwa maji safi tu.
K ni natural dada zangu haiitaji mamaker up kuiosha km mnavyoharibu sura zenu. Madhara ya kuiosha kwa sabuni ni kuua wadudu rafiki wa mazingira hayo ambao huzuia mashambulizi ya wadudu hapo bustanini.
Usimtenge mwenzio kwa tatizo dogo kama hilo.
 
Last edited by a moderator:
mkuu.. umeongea vizuri sana. Mie nadhan afuate ushauri huu na tufunge thread tuendelee na mengine.
 

Ndicho nilichokiona nashukuru umeshakiandika pia, nashauri kama vipi amuache tu maana hajampenda ni binti tu ndio inaonekana amependa kwa dhati. Ila jua wenzio watamchukua na kumpeleka hospt na atakua poa kabisa.

NB: mpeleke mwenzio akapate tiba na ushauri wa kujikinga na hayo mambo hapo baadae akishapona.
 
Sorry goal 6 kwa mkupuo au usiku mzima...! Mkuu kama kwa mkupuo chunga sana huko uendako sipo alafu kwa kujua kwangu na kufanya kwangu six goals per once i would say "void ab nitio"
 
Kuwa na adabu na uache kumuanika. Mpeleke hospitali mkayamalize huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…