Yani sina humu nae kabisa

Yani sina humu nae kabisa

Muambie mpz nataka tusaidiane hili tatizo letu na tusiwe na aibu twende kwa dactor NAKUPENDA SANA NA SITAKI TUACHANE KISA TATIZO AMBALO LINASOLVIKA mwaaaa na ka kiss kakumjambisha.
 
Kuna demu mmoja nilishawahi kukutana nae alikuwa na harufu mbaya sana kwenye K yake. Mara ya kwanza nilijua ndivyo alivyo...nilivyoongea naye akasema hata yeye anashangaa maana zamani hakuwaga hivyo...so tukaenda hospital kachekiwa akapewa dawa. Ile harufu iliisha kabisaa tuka endelea ku ji enjoy. Huwa ni magonjwa tu hasa fungus

Shukrani mkuu sasa kama atakuwa mgonjwa wa fangasi si atakuwa ashaniambukiza na mimi? Make huwa tunapekuwa
 
mmmh fangas nenda katibu mapema isije ikaingia ndani

SASA WANAWAKE HUPANIKI SANA WAKIAMBIWA UKWELI SASA FANYA HIVI

1.tengeneza mazingira mazuri very romantic kama ni kwake kwako au any dating place
2.mwambie baby niambie una tatizo gani ambalo unahis linakunyima raha na unataka nikusaidie au tusaidiane kulitoa
3.kama atakujibu mwambie twende hosptal kama hatakujibu ACHA KWA SIKU HIYO

kesho yake au baadae huko mtumie msg mwambie baby unajua jana kwa nini nili uliza vile niliuliza maana wanawake wana matatizo mengi na hawajui ambayo baadae hupelekea kukosa watoto sasa mimi nataka twebde ujafanye chekup ya mwili wako ikiwemo sehemu za uzazi (HAPO TAYARI USHAONGEA NA DR KWA HIYO AKIFIKA KWA DR YEE DR ATAJUA AMPIME NINI)
ila kama hapo juu atakujibu basi mkono kwa mkono hospital

KUMPATA MWANAMKE ANAEKUPENDA NI NGUMU SANA NOWDAYS USIKUBALI KUMPOTEZA KWA TATIZO DOGO HIVYO.

Barikiwa mrembo
 
Muambie mpz nataka tusaidiane hili tatizo letu na tusiwe na aibu twende kwa dactor NAKUPENDA SANA NA SITAKI TUACHANE KISA TATIZO AMBALO LINASOLVIKA mwaaaa na ka kiss kakumjambisha.

Teh teh teh nmependa ushauri wako mkuu
 
Fuata ushauri wa masai dada umekaa poa. Then mwambie asioshe tunda yake kwa sabuni yoyote ile bali awe anaosha kwa maji safi tu.
K ni natural dada zangu haiitaji mamaker up kuiosha km mnavyoharibu sura zenu. Madhara ya kuiosha kwa sabuni ni kuua wadudu rafiki wa mazingira hayo ambao huzuia mashambulizi ya wadudu hapo bustanini.
Usimtenge mwenzio kwa tatizo dogo kama hilo.
 
Last edited by a moderator:
mmmh fangas nenda katibu mapema isije ikaingia ndani

SASA WANAWAKE HUPANIKI SANA WAKIAMBIWA UKWELI SASA FANYA HIVI

1.tengeneza mazingira mazuri very romantic kama ni kwake kwako au any dating place
2.mwambie baby niambie una tatizo gani ambalo unahis linakunyima raha na unataka nikusaidie au tusaidiane kulitoa
3.kama atakujibu mwambie twende hosptal kama hatakujibu ACHA KWA SIKU HIYO

kesho yake au baadae huko mtumie msg mwambie baby unajua jana kwa nini nili uliza vile niliuliza maana wanawake wana matatizo mengi na hawajui ambayo baadae hupelekea kukosa watoto sasa mimi nataka twebde ujafanye chekup ya mwili wako ikiwemo sehemu za uzazi (HAPO TAYARI USHAONGEA NA DR KWA HIYO AKIFIKA KWA DR YEE DR ATAJUA AMPIME NINI)
ila kama hapo juu atakujibu basi mkono kwa mkono hospital

KUMPATA MWANAMKE ANAEKUPENDA NI NGUMU SANA NOWDAYS USIKUBALI KUMPOTEZA KWA TATIZO DOGO HIVYO.
mkuu.. umeongea vizuri sana. Mie nadhan afuate ushauri huu na tufunge thread tuendelee na mengine.
 
Mkuu kwanza nahisi labda hujampenda kutoka moyoni kwani kwa jinsi nijuavyo mimi mapenzi ni zaidi ya kugegeda.mpaka unaamua kuja kuomba ushauri humu nadhani ungetuambia niliisha kaa nae tukaliongea na tukachukua hatua flani may be tumejaribu kupita mahospitalini lakin imeshindikana.Kwani najua chako ni chako tu lazima ukihangaikie ili uandae mazingira mazuri ya kukifaidi.Ushauri wangu,kaanae mweleze ukweli na umuombe akubali msaidiane kutafuta tiba kwani kwa kesi hiyo nilazima kuna tatizo sio kawaida.

Ndicho nilichokiona nashukuru umeshakiandika pia, nashauri kama vipi amuache tu maana hajampenda ni binti tu ndio inaonekana amependa kwa dhati. Ila jua wenzio watamchukua na kumpeleka hospt na atakua poa kabisa.

NB: mpeleke mwenzio akapate tiba na ushauri wa kujikinga na hayo mambo hapo baadae akishapona.
 
Sorry goal 6 kwa mkupuo au usiku mzima...! Mkuu kama kwa mkupuo chunga sana huko uendako sipo alafu kwa kujua kwangu na kufanya kwangu six goals per once i would say "void ab nitio"
 
Kuwa na adabu na uache kumuanika. Mpeleke hospitali mkayamalize huko.
 
Back
Top Bottom