Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Chumvi unayozalisha wewe ipo wapi?Ndio naona hapa nashangaa. Hadi chumvi? Wakati kuna sehemu hadi tunaita uvinza? Mtwara, pwani yote chumvi ipo. Ununio huko naona chumvi. Nani katuloga?
Ifike sehemu hawa vuingozi wetu watuheshimu na wajiheshimu. Ifike wakati aje kiongozi apige marufuku imports za yafuatayo:
1. Maji
2. Chumvi
3. Sukari
4. Nafaka
Mnaweza kuongezea hapo.
Rais aliyepo madarakani anaweza kuanza na hayo, na kisha tukaendelea katika sekta zingine nyeti
Sitaki kuitangaza, bali nita attach hapo juu kipande tuHembu taja hiyo chumvi imported kutok huko nje ??
Sio sababu hiyo mkuuChumvi unayozalisha wewe ipo wapi?
Wewe tumia fursa ukatengeneze chumvi?Ndio naona hapa nashangaa. Hadi chumvi? Wakati kuna sehemu hadi tunaita uvinza? Mtwara, pwani yote chumvi ipo. Ununio huko naona chumvi. Nani katuloga?
Ifike sehemu hawa vuingozi wetu watuheshimu na wajiheshimu. Ifike wakati aje kiongozi apige marufuku imports za yafuatayo:
1. Maji
2. Chumvi
3. Sukari
4. Nafaka
Mnaweza kuongezea hapo.
Rais aliyepo madarakani anaweza kuanza na hayo, na kisha tukaendelea katika sekta zingine nyeti.
Sasa tukigeukia kwenye siasa hiyo inaweza kuwa applicable? As far as opposition parties are concernedWewe tumia fursa ukatengeneze chumvi?
Usingoje kila kitu kufanyiwa na viongozi, jiongoze na jiongeze.
Chama cha mambuziCcm watakwambia uchochezi
Ushasema siasa, siasa za Tanzania siku zote ni wajinga ndiyo waliwao. Mama Samia pekee ndiyo tunajionea kwa vitendo kabisa sasa ana Reform na Rebuld siasa zake ni za kuwezeshana kimaisha siyo za porojo tu..Sasa tukigeukia kwenye siasa hiyo inaweza kuwa applicable? As far as opposition parties are concerned
Uzuri kwa chumvi mfano ni kuyazinga maji na baada ya muda unapata raw salt kabla haijachakatwa kuwa hii ya mezani. Sasa ni muhimu kwa wawakilishi wao kuona namna ya kuwawezesha, kama wanavyofanya kwa mwani na matango/jongoo bahariGharama za uzalishaji ni kubwa.
Kwingine mf. China wana economies of scale, ruzuku na learning time ndogo, kwahiyo bei ndogo ya bidhaa.
Tukikupa m10 uzalishe mfano tangawizi bei utakayotuuzia ili upate faida ni mara mbili ya bei ambayo tutaimport.
Tatizo ni yaleyale umesoma form two: lack of ........
Division of labor
Waliopo huko wanatosha, wawezesshwe tuHiyo ni fursa, umeona gap, piga kazi
Hata hao wakulima wa chumvi kwa hoja yako ni wajinga, maana siasa yenyewe ndio imetengeneza mazingira hayo. Hadi tunaagiza chumvi toka nchi jiraniUshasema siasa, siasa za Tanzania siku zote ni wajinga ndiyo waliwao. Mama Samia pekee ndiyo tunajionea kwa vitendo kabisa sasa ana Reform na Rebuld siasa zake ni za kuwezeshana kimaisha siyo za porojo tu..
Biashara nyingi ni huria, ubora na bei ndio utakuweka sokoniWaliopo huko wanatosha, wawezesshwe tu
Ccm hawana habari...wote wameshiba hayo unaongea wewe mwenye njaaNdio naona hapa nashangaa. Hadi chumvi? Wakati kuna sehemu hadi tunaita uvinza? Mtwara, pwani yote chumvi ipo. Ununio huko naona chumvi. Nani katuloga?
Ifike sehemu hawa vuingozi wetu watuheshimu na wajiheshimu. Ifike wakati aje kiongozi apige marufuku imports za yafuatayo:
1. Maji
2. Chumvi
3. Sukari
4. Nafaka
Mnaweza kuongezea hapo.
Rais aliyepo madarakani anaweza kuanza na hayo, na kisha tukaendelea katika sekta zingine nyeti.