Yani tuna import hadi chumvi?

Yani tuna import hadi chumvi?

Ndio naona hapa nashangaa. Hadi chumvi? Wakati kuna sehemu hadi tunaita uvinza? Mtwara, pwani yote chumvi ipo. Ununio huko naona chumvi. Nani katuloga?

Ifike sehemu hawa vuingozi wetu watuheshimu na wajiheshimu. Ifike wakati aje kiongozi apige marufuku imports za yafuatayo:

1. Maji
2. Chumvi
3. Sukari
4. Nafaka

Mnaweza kuongezea hapo.

Rais aliyepo madarakani anaweza kuanza na hayo, na kisha tukaendelea katika sekta zingine nyeti.
Ndio mambo yanamaliza Dola haya, Serikali Azuia mambo ya kijinga kama haya.
 
Back
Top Bottom