Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Baba wa mtoto alikuwa wapi??
Kwa taarifa naona eti aliondoka na jamaa na anaitwa hamis ili aka party huku wakiamucavha dogo na boda wao wa familiaBaba wa mtoto alikuwa wapi??
Uyo ni single maza. Alitoka na "mpenzi" wake.Baba wa mtoto alikuwa wapi??
Kataa ndoa huku wanazaa nje.Endeleeni kuzaa na maslay queens.
Dogo ndio kashafariki hivyo kwa uzembe wa starehe na akili za ku-slay slay
View attachment 3188611
Mfanya biashara asiye na uwezo hata wa kukodi Mama jirani amwangalizie mtoto anamwacha kwa Bodaboda?Endeleeni kuzaa na maslay queens.
Dogo ndio kashafariki hivyo kwa uzembe wa starehe na akili za ku-slay slay
View attachment 3188611
Hiyo ni ishu ya Dodoma broo, siyo Daslam.Elezeni vizuri basi, huko Daslamu mko wengi ni nguvu kujua kila mtu
Uko wapi huo Uzi?Hiyo ni ishu ya Dodoma broo, siyo Daslam.
Kuna uzi humu una maelezo ya tukio lote
Elezeni vizuri basi, huko Daslamu mko wengi ni nguvu kujua kila mtu
👇Uko wapi huo Uzi?
Nimeona inasikitisha sana. Nitajitahidi nisizae na singo maza.Hiyo ni ishu ya Dodoma broo, siyo Daslam.
Kuna uzi humu una maelezo ya tukio lote
Hii habar vyombo vyote vya habar tanzania vinaileta hv hv yaan hata hawaelez ilikuwaje,nashindwa kujua wauaji walikuwa mabubu au vpChambueni hii habari maana siyo wote tunamjua huyo mwe
Wanaume wote ni umbwa,I am single and happy- Wanawake punguzeni hizi kauli zinawacost hakuna single maza Yuko HAPPY!!Inasikitisha Sana....... Hapa madongo yote yanaelekea kwa single mother lakini so kweli,,
Asilimia kubwa ya wazazi Tanzania wako tayari kuzaa na so kulea!!!! Malezi ya watoto yanataka fedha, muda, hisia, kujali , kuthamini sasa tulio wengi tunaachia dada wa kazi , ndugu, majirani, jamaa na marafiki watutimizie majukumu yetu. Nashauri Kama hauko tayari kubeba jukumu la mzazi hakikisha mbegu zako unakaa nazo kiunoni mpka utakapokua tayari..... Uwe wa kiume au wa kike kaa tulia ukiwa tayari kuwa mzazi ndio uanze kuzaa. Sioni mantiki ya kuzalisha mtoto wa watu umuachie majukumu uanze kumuita single maza huku wewe single father ukitega ukila starehe na wanawake wengine.
Napigia mstari neno hakuna Singo Maza yupo Happy. Huo ndio ukweli mchungu.Wanaume wote ni umbwa,I am single and happy- Wanawake punguzeni hizi kauli zinawacost hakuna single maza Yuko HAPPY!!
Sema tu huyu binti mjinga. Na hata kama watuhumiwa wametiwa mbaroni, bado na yeye hawezi kukwepa lawama. Maana kutokana na ubinafsi wake, amesababisha mtoto kufariki.Endeleeni kuzaa na maslay queens.
Dogo ndio kashafariki hivyo kwa uzembe wa starehe na akili za ku-slay slay
View attachment 3188611