Yani unakimbia usiku kufukuzana na Castle Lite na Savanna huku umeacha mtoto wako mdogo eti mtu akuangalizie

Yani unakimbia usiku kufukuzana na Castle Lite na Savanna huku umeacha mtoto wako mdogo eti mtu akuangalizie

Inasikitisha Sana....... Hapa madongo yote yanaelekea kwa single mother lakini so kweli,,
Asilimia kubwa ya wazazi Tanzania wako tayari kuzaa na so kulea!!!! Malezi ya watoto yanataka fedha, muda, hisia, kujali , kuthamini sasa tulio wengi tunaachia dada wa kazi , ndugu, majirani, jamaa na marafiki watutimizie majukumu yetu. Nashauri Kama hauko tayari kubeba jukumu la mzazi hakikisha mbegu zako unakaa nazo kiunoni mpka utakapokua tayari..... Uwe wa kiume au wa kike kaa tulia ukiwa tayari kuwa mzazi ndio uanze kuzaa. Sioni mantiki ya kuzalisha mtoto wa watu umuachie majukumu uanze kumuita single maza huku wewe single father ukitega ukila starehe na wanawake wengine.
Akili za maslay queen zipo kwenye matako yao..

Idadi ya kubwa ya single mother wengi wao ni wahuni
 
hivi huyo mtoto ana connection gani na yuledogo freemason anajiita godlove sijui nani maana naona kuna nyuzi anaitwa mtoto wa hiari, hatakama alikua anakula huo mzigo ndio ashindwe kabisa kumwekea hata house girl? inasikitisha sana lakini kuna kilichojificha ndani yake
 
Inashangaza Sana, yaani unamwacha mtoto wako Kwa MTU Ili ukafanye starehe Tena wewe ni mwanamke unaeujua uchungu wa kuzaa shenzi kabisa. Mungu amrehemu huyo mtoto. pili tuache kuwahukumu single moms hili tukio halina uhusiano na usingle mother ,nitabia tu ya uhuni ya huyo mwanamke
 
Back
Top Bottom