Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
- Thread starter
-
- #21
HhahahahahNimeona inasikitisha sana. Nitajitahidi nisizae na singo maza.
Maana hata huku nilipeleka mtoto wangu na watoto wa majirani kucheza Xmas. Kuna watoto wawili wa masingo maza nilisikitika sana walivyo vaa. Wamevaa vikaptura mapaja yote wazi.
Hakika mkuuSema tu huyu binti mjinga. Na hata kama watuhumiwa wametiwa mbaroni, bado na yeye hawezi kukwepa lawama. Maana kutokana na ubinafsi wake, amesababisha mtoto kufariki.
Na hili liwe funzo kwa sisi wazazi ya kwamba malezi ya mtoto/watoto yanahitaji uangalizi wetu! Na siyo wa watu baki.
Akili za maslay queen zipo kwenye matako yao..Inasikitisha Sana....... Hapa madongo yote yanaelekea kwa single mother lakini so kweli,,
Asilimia kubwa ya wazazi Tanzania wako tayari kuzaa na so kulea!!!! Malezi ya watoto yanataka fedha, muda, hisia, kujali , kuthamini sasa tulio wengi tunaachia dada wa kazi , ndugu, majirani, jamaa na marafiki watutimizie majukumu yetu. Nashauri Kama hauko tayari kubeba jukumu la mzazi hakikisha mbegu zako unakaa nazo kiunoni mpka utakapokua tayari..... Uwe wa kiume au wa kike kaa tulia ukiwa tayari kuwa mzazi ndio uanze kuzaa. Sioni mantiki ya kuzalisha mtoto wa watu umuachie majukumu uanze kumuita single maza huku wewe single father ukitega ukila starehe na wanawake wengine.
Shida hapo ni nini mkuu? Kwahiyo ww mtoto kuvaa kaptura kwako ni jambo baya? Unamaanisha nini ukisema mapaja ya mtoto Yako wazi, kwahiyo umetamani hivyo tupaja vya watoto?Wamevaa vikaptura mapaja yote wazi.