Yani viswahili vya Kenya eti chupi wanaita nghodha

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka Wanajamvi!

Leo nimecheka Karibu nife. Yani hawa majirani zetu bana. Eti chupi wanaita nghodha nimebaki kushangaa tu WTF! Cheka balaa.
 
Sasa wewe, na hiyo ujuaji yooote, unanikwaria ngotha pia inaeza itwa 'samosa'.......

Cheki sasa venye umejiplay, kaptula yuitwa 'kinyasa' ama 'shotiko'...... suruali ndio 'toja' buda. Cheza chini, kachape waba.
Morio izea jo haunauo any. Unachoma mbisha mzeiya na hizo sheng zako za moshatha budaboss. 😄 Hizo ni za tene ukizibonga saa hii Kanairo watadai wewe ni mwere na eti mnashare bday na mabudeng kaa Rao na Weta hivi. Eti Kinyasa na shotiko na masansee utadai ni maponyii au?😄 Utachekwa na mabangdingding, kaa rada mtu nguyaz, cheza kama wewe.
 
Kunauo nimenauo morio wa me i. Sare form za uwaganis, kitambo tuwakamishie shembeteng, yubidi tumewashikishia tubasics gathee. Umenigich? Wacha wa banje iyo vector fao.
 
Dah, kumbe sheng ilishavuka boda jombaa? Nimekugich mtunguyaz, sina za ovyo mzeiya. Shembeteng ndio uwaganis buda, suruali ndio toja but iyo shotiko jo ni ile service mapokoyoyo huwa wanagawa chapchap. Umenauo?
 
Niko ridho mgenge, hahaha ati raundii shotiko ni zile za mjulubeng na mayeng sio, pale ivyo koinange. Apo iyo idhaa ya jatos ni venye nimetry kukawai safe des....niliacha wakijinice na pipe, though pipe pia ni bonoko.
Sheng lazma tukule miles nayo, ni kaa kufika majuu then unakam kaa umetweng kuruka.

By the way, unajua meaning ya kubothola? Hehehee(hapo nimekuweza)
 
Kuna wakati nikiwa Kijana mdogo kuna ndugu yangu alikuwa anasoma Nairobi tulipokutana akijua mimi mjanja kutoka Dr aliongea na mimi kwa muda wa dakika 30 na sikumuelewa kabisa
 
Sasa hivyo ni viswahili au lugha zao za kienyeji.
 
Niko ridho mgenge, hahaha ati raundii shotiko ni zile za mjulubeng na mayeng sio, pale ivyo koinange. Apo iyo idhaa ya jatos ni venye nimetry kukawai safe des....niliacha wakijinice na pipe, though pipe pia ni bonoko.
Sheng lazma tukule miles nayo, ni kaa kufika majuu then unakam kaa umetweng kuruka.

By the way, unajua meaning ya kubothola? Hehehee(hapo nimekuweza)
Yea shotiko ni vako za madenge wa wera asapo Koinange au Sabina Joy. 😎 Kubothola nimeisearch kwa mong'o lakini imeread no results. 😄 Kanairo bila sheng mtu nguyaz ni kaa sansee bila chwani kwa mbosho.
 
Mdabus unarombosa Sabina Joy. Eh!!! Wewe ndio wewe, kaa umeshikisha ma vanga apo sanford afta kunyanduana. Kubodhola/bothola....ni kudenki msee!!!
 
Unang'am hadi Sanford morio? 🙏 Ndio zilikuwa vako zetu tukiwa campo mzeiya. Tukidunda tao lazima oilo ibadilishwe na madenge wa Sabina Joy. Doh zetu zote tulikuwa tunawai kina Mwende na Adhis. Walikuwa wanatumada mbaya na mahaga na mawetete zao buda, acha tu. Tulikuwa tunazinyandua hadi on credit na ukihama kwa pokoyoyo fresha wanakuseti kwa blacklist mara dat dat. 😆
 
Sasa hivyo ni viswahili au lugha zao za kienyeji.
Usiichukulie poa, sio lugha asili wala sio ya kienyeji. Kuna hadi kamusi ya sheng ni lugha ambayo sio ya kupuuzwa. Inatumika sana kwenye shughuli za kila siku. Kwenye advert kama zote magazetini, kwenye billboards na sehemu zingine nyingi. Ambazo zina ujumbe ambao unanuia kuwafikia vijana kwa urahisi.
 
Mzuka Wanajamvi!

Leo nimecheka Karibu nife. Yani hawa majirani zetu bana. Eti chupi wanaita nghodha nimebaki kushangaa tu WTF! Cheka balaa.
Mkuu standard Swahili tumekubaliana kuwa ni Kiunguja. Hizi dialects zilizobaki kama Sheng sio standard na ziko kila mahali. Nadhani Kiswahili ni mojawapo ya lugha yemye dialects nyingi
 
30 mins yote ulikuwa unachapia masmile tu budaboss na hukunauo any? 😆 Cheza chini Bazenga.
Ilikuwa changamoto sana. Yaani angalau yale maneno ya kingereza nilikuwa naambulia lakini siyo hizo broken nyingine. Siku hizi napatapata nikienda huko. Mambo ya Kanairo, lanye, ikusi nk hahahaa
 
Mkuu standard Swahili tumekubaliana kuwa ni Kiunguja. Hizi dialects zilizobaki kama Sheng sio standard na ziko kila mahali. Nadhani Kiswahili ni mojawapo ya lugha yemye dialects nyingi
Vipi kuhusu kiamu cha visiwa vya Lamu na Kiwayuu? Maeneo ambayo ndio chimbuko la Kiswahili, hicho nacho sio kiswahili standard kweli? Ila hujakosea, kiswahili kina 'dialects' nyingi mno.

Kuna hadi waswahili ambao asili yao ni kusini mwa nchi ya Somalia, wapo pwani ya Kenya pia. Wanaitwa wabarawa/brava au wamiini ni wabantu kutoka mji wa Barawa/Miini karibu na Kismayu. Wanazungumza Chimwini kwa jina lingine Chimbalazi kama lugha yao asili, ambayo ni lahaja rasmi ya kiswahili. Hebu sikiza kiswahili chao jombaa, kitamu sana. Hapo mwisho kuna ndugu zao wa karibu, wabajuni, wakizungumza kibajuni, ambayo pia ni lahaja rasmi ya kiswahili.
 
Sijui mkuu ilaa dialect iliyochaguliwa na inayokubalika kama standard Swahilu ni Kiunguja
Sasa kuna watu wa Mombasa penye j wakiwa wanazungumza wanaweka y.
Maji unasikia mayi
 
Back
Top Bottom