Yani viswahili vya Kenya eti chupi wanaita nghodha

Yani viswahili vya Kenya eti chupi wanaita nghodha

Ilikuwa changamoto sana. Yaani angalau yale maneno ya kingereza nilikuwa naambulia lakini siyo hizo broken nyingine. Siku hizi napatapata nikienda huko. Mambo ya Kanairo, lanye, ikusi nk hahahaa
Eti ikus. 😄 Wewe ni bazenga kweli budaboss.
 
Unang'am hadi Sanford morio? 🙏 Ndio zilikuwa vako zetu tukiwa campo mzeiya. Tukidunda tao lazima oilo ibadilishwe na madenge wa Sabina Joy. Doh zetu zote tulikuwa tunawai kina Mwende na Adhis. Walikuwa wanatumada mbaya na mahaga na mawetete zao buda, acha tu. Tulikuwa tunazinyandua hadi on credit na ukihama kwa pokoyoyo fresha wanakuseti kwa blacklist mara dat dat. 😆
Eish daddy yo! Iyo ndio ilikuwa form kuthigitha mavanga vako za kumada unenge ki thursday kabla wadhii tujipate lifestyle juu ya ma mzinga....
Friday na Sato...ni Sanford, then hapo nakumatt juu ya mzinga za kujipata westii. Ala!
 
Sijui mkuu ilaa dialect iliyochaguliwa na inayokubalika kama standard Swahilu ni Kiunguja
Sasa kuna watu wa Mombasa penye j wakiwa wanazungumza wanaweka y.
Maji unasikia mayi
Kimvita cha Mombasa ndio kinakubalika nchini Kenya kama kiswahili standard. Kina tofautiana kidogo sana na kiunguja, utasikia yuasema, yuataka n.k. Ndio maana maneno mengine ya kiswahili fasaha kabisa yanayotumiwa na wakenya huwa yanawashangaza watanzania. Kwa mfano marehemu- mwendazake.

Hao wa mayi ni wa-amu wa visiwa vya Lamu na Kiwayuu. Wanaongea kwa madahaaa eti na ndio waswahili wenyewe.
 
Kimvita cha Mombasa ndio kinakubalika nchini Kenya kama kiswahili standard. Kina tofautiana kidogo sana na kiunguja, utasikia yuasema, yuataka n.k. Hao wa mayi ni wa-amu wa visiwa vya Lamu na Kiwayuu. Wanaongea kwa madahaaa eti na ndio waswahili wenyewe.
Yani kimataifa kiunguja ndio standard dialect ya kiswahili hata hao wakenya wanakubali hilo
 
Pikipiki/Bodaboda - Ndudhi/Nduzi😁😁
Nduthi ni Kikikuyu. 😄 Kuna maneno mengi sana ya Kikikuyu ndani ya sheng. Hata kwenye lugha za kawaida tu kuna maneno mengi sana. Ambayo watu huwa wanayatumia nchini Kenya, bila kujua kwamba ni Kikikuyu. Kwa mfano kwenye Lion King huwa wanataniana wakiitana Nugu. Nugu ni baboon kwa Kikikuyu.
 
Eish daddy yo! Iyo ndio ilikuwa form kuthigitha mavanga vako za kumada unenge ki thursday kabla wadhii tujipate lifestyle juu ya ma mzinga....
Friday na Sato...ni Sanford, then hapo nakumatt juu ya mzinga za kujipata westii. Ala!
Inaitwa Kanairo jombaa, mji wa raha kila siku ya wiki.
 
Back
Top Bottom