Mzee wa kazi chafu huyoYannick litombo Bangala...kastahili
Mbna ypo kwenye kikos boraSintaangalia tena mashindano ya ligi kuu Kama Fei Toto hakutoka na tuzo yoyote.
Kwi kwi kwi kwiMbna ypo kwenye kikos bora
Mnamkweza tu huyo dogo!Sintaangalia tena mashindano ya ligi kuu Kama Fei Toto hakutoka na tuzo yoyote.
Nawajua Wachezaji wazuri na Feitoto ni mmoja wao, wewe kaa na chuki zako za kishabiki. Kesho akihamia Simba urudi kumpambapamba.Mnamkweza tu huyo dogo!
Aucho alicheza mechi chache .Yule tuliyeambiwa kuwa ni daktari wa mpira licha ya kukosa katika wale wanaowania Tuzo, hata kwenye kikosi cha msimu hayupo...!
Khalid Aucho Dr of Football..Nyiee [emoji16]
HahaaaaYule tuliyeambiwa kuwa ni daktari wa mpira licha ya kukosa katika wale wanaowania Tuzo, hata kwenye kikosi cha msimu hayupo...!
Khalid Aucho Dr of Football..Nyiee [emoji16]
Kumbe ndo huyu. Hongera zakeNoma Sana [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2284153
Aje mwanza?Kumbe ndo huyu. Hongera zake
Mwanza anaenda GGm fc?Aje mwanza?
Yanick alistahiki, alicheza nafasi ya Kiungo na wakati beki wa kati zote alicheza vizuri..!