Yanick Bangala kiungo fundi wa Yanga usiku huu ametangazwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara 2021/2022
Kwa kutwaa tuzo hiyo Bangala amewashinda mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele na beki wa Simba Henock Inonga, waliokuwa pia wanagombea tuzo hiyo
Bangala pia alikomba tuzo ya kiungo bora wa ligi
Mayele ameshinda tuzo ya goli bora la ligi, wakati Inonga ameshinda tuzo ya beki bora wa ligi
Kocha wa Yanga Prof Nabi ameshinda tuzo ya Kocha bora