Kiswahili chako kigumu sana kukielewa mkuu.Habari wanajukwaa,
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea, inapendeza/ inafaa kwa shemeji alooa Dada mtu kumlisha?, kutokana na yeye masuala ya kipato chake cha kibarua kumuendea kombo , kwahiyo hali yake ikawa sio nzuri kifedha je inapendeza kwa kumlea yeye pamoja na familia yake?
Karibuni sana tupeane maarifa, japo uandishi wangu wa leo sijaupangilia vizuri nawaombeni radhi kwa hilo.
By
Young
Dimaa.
Ndo mana nikaomba radhi, nikutokana na uchache wa mda kwahiyo ilinibidi nitype harakaharaka, nikajikuta sijapangilia katika mlolongo mzuri.Kiswahili chako kigumu sana kukielewa mkuu.
Labda wenye PhD za lugha ya kiswahili wanaweza kuelewa ulichomaanisha maana binafsi sijaelewa kitu.