msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 683
- 551
HahahahaSasa mbona majibu yako wazi. Ni mmoja wa Maafisa usalama wa Rais. Kama unataka kufahamu mpaka jina lake, mahali anakoishi, ameoa/hajao! Wazazi na ndugu zake ni akina nani? Hii sasa itakua ni kesi nyingine.
Chief wa kwanza Mwanamke! Lakini pia ndiye Chief na Mtemi wa kwanza kutokea Visiwani!!Mlinzi wa Chief Hangaya
Invitana zumbee, hongea sana zumbe Mkuu..ahhhahhaaa..Sasa mbona majibu yako wazi. Ni mmoja wa Maafisa usalama wa Rais. Kama unataka kufahamu mpaka jina lake, mahali anakoishi, ameoa/hajao! Wazazi na ndugu zake ni akina nani? Hii sasa itakua ni kesi nyingine.
Wanaogopeka sana hasa kuanzia 2015.Hivi mnawaogopa sana watumishi wa idara ya usalama wa taifa?
Kiufupi asilimia kubwa ya watumishi na wasaidizi wa ikulu ni TISS
Relax!
🤣🤣🤣Chief wa kwanza Mwanamke! Lakini pia ndiye Chief na Mtemi wa kwanza kutokea Visiwani!!
Kweli mama anaupiga mwingi!!
Siku nyingine ukipata bahati kuangalia tukio zima, tazama glass pamoja na maji anayokunywa kiongozi huyo yataletwa nae.
[emoji115][emoji115]Sasa mbona majibu yako wazi. Ni mmoja wa Maafisa usalama wa Rais. Kama unataka kufahamu mpaka jina lake, mahali anakoishi, ameoa/hajao! Wazazi na ndugu zake ni akina nani? Hii sasa itakua ni kesi nyingine.
Binafsi siwaogopi but they must earn my respect kama tiss ya awamu ya kwanza,kwanza neno tiss nalo lilikua ni siri na hakuna aliyepotezwa na wasiojulikana na wapinzani wote waliishi maisha yao na wapendwa wao hata kama walifungiwa ndani ya vijiji vyao au house arrest,hii ya sasa damu nyingi mno ipo mikononi mwaoHivi mnawaogopa sana watumishi wa idara ya usalama wa taifa?
Kiufupi asilimia kubwa ya watumishi na wasaidizi wa ikulu ni TISS
Relax!
Tiss ilianza mwaka gani mkuu?Binafsi siwaogopi but they must earn my respect kama tiss ya awamu ya kwanza,kwanza neno tiss nalo lilikua ni siri na hakuna aliyepotezwa na wasiojulikana na wapinzani wote waliishi maisha yao na wapendwa wao hata kama walifungiwa ndani ya vijiji vyao au house arrest,hii ya sasa damu nyingi mno ipo mikononi mwao
June 22nd 1948 ingawa hii modern tiss ilianzishwa na sheria ya bunge 1996.Tiss ilianza mwaka gani mkuu?