Kondom hua natumia, labda hayo mengi nayao ungeyataja. Lakini nashukuru.Madhara anayoweza pata mkeo ni mengi
lakini baadhi ni haya hapa Mkuu:-
Kama unapiga game kavukavu
haya yanakuhusu sana
Gono
Hiv
Pangusa
sasa na mkeo utampatu.
Mimi ni kijana nilie ndani ya ndoa takriban mwaka mmoja sasa. Mungu amejaalia Mkewangu ana Ujauzito (mimba) wa miezi miwili, lakini mwenyewe nimeshindwa kuushinda moyo wangu hivyo kila mara (mwisho Jana) nimejikuta natoka nje ya ndoa yangu. Sasa nahitaji ushauri wa ki Afya, je sintamsababishia matatizo ya kiafya mwenzangu? Naomba kuwasilisha.
Sina Sababu za msingi zaidi ya Umalaya tu. Nimeanza kumsaliti mwenzagu kabla ya ujauzito.

Acha uzembe wewe...Sina Sababu za msingi zaidi ya Umalaya tu. Nimeanza kumsaliti mwenzagu kabla ya ujauzito.