Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Mimi ni kijana nilie ndani ya ndoa takriban mwaka mmoja sasa. Mungu amejaalia Mkewangu ana Ujauzito (mimba) wa miezi miwili, lakini mwenyewe nimeshindwa kuushinda moyo wangu hivyo kila mara (mwisho Jana) nimejikuta natoka nje ya ndoa yangu. Sasa nahitaji ushauri wa ki Afya, je sintamsababishia matatizo ya kiafya mwenzangu? Naomba kuwasilisha.