Yaan hujiskii vzr bila kuitaja Yanga!, umeilizwa kuhusu Simba ss Yanga anahusikaje kwenye maemdeleo ya Simba[emoji23][emoji23]Asante, Mwenendo Sio Mbaya Kwenye CL ukilinganisha na Yanga.
Maana Yanga mpaka muda huu ninapochangia Mada hii anaburuza Mkia Kwenye Kundi lake...
Hofu Yangu Yasijetokea yaleee ya Mwaka 47 (1998)
Majibu ya aina hii kulingana na swali lililo ulizwa ndiyo inapo kuja hoja ya Ismail Aden Lage kujengewa mnara.Asante, Mwenendo Sio Mbaya Kwenye CL ukilinganisha na Yanga.
Maana Yanga mpaka muda huu ninapochangia Mada hii anaburuza Mkia Kwenye Kundi lake...
Hofu Yangu Yasijetokea yaleee ya Mwaka 47 (1998)
AaahaaaaaThe Simba players has kubum there... Kubum there... The ball! No one settle with the ball.. Even the "wall of yeriko" committed to kubum and kubum! No biriyani as usual.
Tell this Benchika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbavu zanguThe Simba players has kubum there... Kubum there... The ball! No one settle with the ball.. Even the "wall of yeriko" committed to kubum and kubum! No biriyani as usual.
Tell this Benchika
mpaka Sasa Yanga ana uhakika wa kupata point 7 kama sio 9 ,tukishinda moja ya ugenini inshalllahAsante, Mwenendo Sio Mbaya Kwenye CL ukilinganisha na Yanga.
Maana Yanga mpaka muda huu ninapochangia Mada hii anaburuza Mkia Kwenye Kundi lake...
Hofu Yangu Yasijetokea yaleee ya Mwaka 47 (1998)
Si unaona mkuu Simba ilivyo matope. Gem ya Leo hata ile ya namungo na ihefu ilikuwa nzur[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbavu zangu
Benchika anasema haelewi
Ku-bum
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimepungua kutoka 12 mpaka 7?mpaka Sasa Yanga ana uhakika wa kupata point 7 kama sio 9 ,tukishinda moja ya ugenini inshalllah