Yapi mawazo yako kuhusu mwenendo wa simba sc?

Asante, Mwenendo Sio Mbaya Kwenye CL ukilinganisha na Yanga.

Maana Yanga mpaka muda huu ninapochangia Mada hii anaburuza Mkia Kwenye Kundi lake...

Hofu Yangu Yasijetokea yaleee ya Mwaka 47 (1998)
 
Yaan hujiskii vzr bila kuitaja Yanga!, umeilizwa kuhusu Simba ss Yanga anahusikaje kwenye maemdeleo ya Simba[emoji23][emoji23]
 
Asante, Mwenendo Sio Mbaya Kwenye CL ukilinganisha na Yanga.

Maana Yanga mpaka muda huu ninapochangia Mada hii anaburuza Mkia Kwenye Kundi lake...

Hofu Yangu Yasijetokea yaleee ya Mwaka 47 (1998)
Majibu ya aina hii kulingana na swali lililo ulizwa ndiyo inapo kuja hoja ya Ismail Aden Lage kujengewa mnara.
Ni umbumbumbu wa kiwango Cha Lami.
 
The Simba players has kubum there... Kubum there... The ball! No one settle with the ball.. Even the "wall of yeriko" committed to kubum and kubum! No biriyani as usual.

Tell this Benchika
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbavu zangu
Benchika anasema haelewi
Ku-bum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante, Mwenendo Sio Mbaya Kwenye CL ukilinganisha na Yanga.

Maana Yanga mpaka muda huu ninapochangia Mada hii anaburuza Mkia Kwenye Kundi lake...

Hofu Yangu Yasijetokea yaleee ya Mwaka 47 (1998)
mpaka Sasa Yanga ana uhakika wa kupata point 7 kama sio 9 ,tukishinda moja ya ugenini inshalllah
 
Back
Top Bottom