Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Ewe Mwenyezi Mungu muumba ardhi na dunia, umeumba wanadamu na vitu vyote vilivyopo, tunakuomba uijalie Simba ushindi leo katika dimba la Benjamin Mkapa ili tuweze kufuzu hatua ya makundi.
Ewe mwenyezi hakuna mtu apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa ni wewe.
Sisi waja wako umetuumba kuja duniani kufurahi na sio kuhuzunika, tunaomba utujalie furaha leo dhidi ya wapinzani wetu Al Ahly Tripoli
Ameen