Yas - boresheni huduma zenu za mtandao SGR station Dodoma

Yas - boresheni huduma zenu za mtandao SGR station Dodoma

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Yas - boresheni huduma zenu za mtandao SGR station Dodoma. Watu wanaumbuka wakitaka kufanya malipo ya kitu chochote wakiwa hapa.

I know this is within your ability. Ikiwezekana kwenye kila kituo cha SGR mitandao isiwe na kwikwi. Nawakilisha
 
Yas - boresheni huduma zenu za mtandao SGR station Dodoma. Watu wanaumbuka wakitaka kufanya malipo ya kitu chochote wakiwa hapa. I know this is within your ability. Ikiwezekana kwenye kila kituo cha SGR mitandao isiwe na kwikwi. Nawakilisha
Watu wako bize na maandalizi ya uchaguzi
 
TRC tunaomba huduma ya WiFi kwenye treni.
 
TRC tunaomba zile screen nle ndani zituoneshe vivutio na fursa za uwekezaji zilizopo Tanzania kwenye Kilimo, Mifugo, Uvuvi, Misitu, Madini, ukuaji wa Majiji n.k.
 
Back
Top Bottom