Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Watu wako bize na maandalizi ya uchaguziYas - boresheni huduma zenu za mtandao SGR station Dodoma. Watu wanaumbuka wakitaka kufanya malipo ya kitu chochote wakiwa hapa. I know this is within your ability. Ikiwezekana kwenye kila kituo cha SGR mitandao isiwe na kwikwi. Nawakilisha
Mkurugenzi wa TRC amekimbia na kwenda kugombea ubungeTRC tunaomba huduma ya WiFi kwenye treni.
Asante Sana StudioWatu wako bize na maandalizi ya uchaguzi