KERO YAS (zamani TIGO Tanzania) kila ikifika saa moja usiku hadi saa 4 huduma yao ya kifedha inasumbua nini shida?

KERO YAS (zamani TIGO Tanzania) kila ikifika saa moja usiku hadi saa 4 huduma yao ya kifedha inasumbua nini shida?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Hawa Nyash sorry YAS
Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida...

Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu!

Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia..
Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
 
Inakua busy, hiyo mida mume karudi kazini.
 
Uvumilivu zaidi unahitajika kampuni bado inashughulika na maboresho ya huduma, ikiwemo, kuenea nchi nzima,matengenezo madogomadogo na kwa kiasi chake hilo limefikia 900 hivyo narudia tena tuvumiliane ndg zangu.
 
Hata kabla hawajawa Yas hio mida huduma zinazingua ukinnunua umeme token usahau
 
Hawa Nyash sorry YAS
Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida...

Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu!

Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia..
Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
Mimi nimeacha kabisa kutumia huduma zao ni mbovu alafu ukiwapigia simu kiburi kingi wanajibu kama wanavyojisikia
 
Hawa Nyash sorry YAS
Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida...

Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu!

Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia..
Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
Labda muda huwa huwa wanakuwa wapo kujipodoa
 
Hawa Nyash sorry YAS
Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida...

Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu!

Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia..
Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
Chukua hatua.
 
Na ikifika saa11 jioni hadi kesho saa12 aaubuhi mida hii huduma ya kusajili laini huwa wanaizima. Lines hazisajiliki
 
Back
Top Bottom