Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Mimi nimeacha kabisa kutumia huduma zao ni mbovu alafu ukiwapigia simu kiburi kingi wanajibu kama wanavyojisikiaHawa Nyash sorry YAS
Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida...
Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu!
Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia..
Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
Labda muda huwa huwa wanakuwa wapo kujipodoaHawa Nyash sorry YAS
Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida...
Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu!
Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia..
Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
Chukua hatua.Hawa Nyash sorry YAS
Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida...
Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu!
Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia..
Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
π π π πMix by ass
Tz nzima mkuu ni kilio ikifika saa 1 usikuduuh kumbe hili tatizo liko worldwide mi nikajua ni huku kijijini kwetu tuu