MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Baada ya drama za kutosha kuna jambo jipya limejitokeza. Tetesi zinasema mwili wa hayati Rais wa Zambia hauonekani ulipohifadhiwa huko Afrika kusini.
Msemaji na Mwanasheria wa familia ya Lungu, ndugu Makebi Zulu ameutaarifu umma kuwa mwili wa hayati Lungu ni kama umepotea. Mr Zulu anadai watu wasiojulikana walihamisha mwili wa Lungu kutoka ulipokuwa unahifadhiwa, Two Mountains Funeral Parlour, na kuupeleka pasipojulikana.
Ikumbukwe hadi sasa ni zaidi ya miezi 9 familia ya Lungu na serikali zinapambana mahakamani jinsi ya kuzika mwili wa hayati Lungu. Serikali inataka azikwe kitaifa na kila kitu kusimamiwa na serikali huku familia ikisema itakubali serikali inavyotaka kwa sharti la Rais wa sasa Hakainde Hichilema kutohudhuria msibani wala chochote kinachohusiana na mambo ya msiba. Yaani akae mbali sana na jeneza la Lungu.
===========================
“LUNGU’S BODY ALLEGEDLY GOES MISSING” – MAKEBI
By Darius Choonya
The body of former President Edgar Lungu has allegedly gone missing in South Africa.
Family spokesperson Makebi Zulu has confirmed the development to Diamond News, saying the body of the late former President was moved from Two Mountains Funeral Parlour in South Africa by South African police and unidentified individuals to an unknown location.
Mr. Zulu has said the family does not know where the body has been taken and has promised to provide further details in due course.
Mr. Lungu died on June 5, 2025, in South Africa, and since his death, his body has not been buried due to an impasse between his family and the Zambian Government.
Source: Diamond TV