Yasemekana mwili wa hayati rais mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu umeibiwa na wasiojulikana

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Baada ya drama za kutosha kuna jambo jipya limejitokeza. Tetesi zinasema mwili wa hayati Rais wa Zambia hauonekani ulipohifadhiwa huko Afrika kusini.

Msemaji na Mwanasheria wa familia ya Lungu, ndugu Makebi Zulu ameutaarifu umma kuwa mwili wa hayati Lungu ni kama umepotea. Mr Zulu anadai watu wasiojulikana walihamisha mwili wa Lungu kutoka ulipokuwa unahifadhiwa, Two Mountains Funeral Parlour, na kuupeleka pasipojulikana.

Ikumbukwe hadi sasa ni zaidi ya miezi 9 familia ya Lungu na serikali zinapambana mahakamani jinsi ya kuzika mwili wa hayati Lungu. Serikali inataka azikwe kitaifa na kila kitu kusimamiwa na serikali huku familia ikisema itakubali serikali inavyotaka kwa sharti la Rais wa sasa Hakainde Hichilema kutohudhuria msibani wala chochote kinachohusiana na mambo ya msiba. Yaani akae mbali sana na jeneza la Lungu.
===========================
“LUNGU’S BODY ALLEGEDLY GOES MISSING” – MAKEBI

By Darius Choonya

The body of former President Edgar Lungu has allegedly gone missing in South Africa.

Family spokesperson Makebi Zulu has confirmed the development to Diamond News, saying the body of the late former President was moved from Two Mountains Funeral Parlour in South Africa by South African police and unidentified individuals to an unknown location.

Mr. Zulu has said the family does not know where the body has been taken and has promised to provide further details in due course.

Mr. Lungu died on June 5, 2025, in South Africa, and since his death, his body has not been buried due to an impasse between his family and the Zambian Government.

Source: Diamond TV
 
kuna tetezi yule mwamba hajafa ila kuna mchezo umechezwa maana jamaa alikua anaandamwa sana na HH .Rungu inasemekana keshafanyiwa sajeri anaishi huko anakojua yy kwa raha zake ndo maama ule mwili familia inaukatalia wanajua yataibuka mengi...hizo ni tetezi
 
Hata mimi nimesikia sana hili unalosema. Ila tetesi zilizonitisha ni kuwa drug dealers nao wana mkono wao kwenye hiyo ishu.
 
Mwamba Kafa lkn familia ya Marehemu mwenyewe Rungu wamepitia manyanyaso mengi kutoka kwa Rais wasasa Hichilema!!! Ndio tatzoblilipo hawataki kujionyesha mbele mbele wkt yeye kachangia mateso kwa Rungu.

Tatizo lengine kubwa taifa la Zambia nikama hawataki kujifunza kwa makosa ya jana yake!!!

Mana Marais kadhaa kwasasa wameusika kunyanyasa Marais wenzao!!!

ajabu sasa mwisho nawao wamekuja kunyanyaswa wakiwa wastaafu!!!

jambo zuri walitakiwa kuheshimiana Ma Rais wastaafu,

unapomuheshimu mwenzio kwa kigezo tu kawatumikia Wananchi !!

basi naww utakuja kuhemishiwa na yoyote atakae kuwa Rais.!!

Ujinga huu ulianzia kwa Rais Chiluba kuanza kunyanyasa Kenneth Kaunda !!

kama mnakumbuka kitendo kikafanya Mwalimu Nyerere kwenda Zambia.

Sasa imekuwa mwendelezo✍️
 
Chukulia kuwa wewe sasa ungekuwa ni Lisu alafu Mungu aka kupatia uhai na ukaja kuwa Rais wakati wapuzi wapuzi hawa wa CCM bado wapo wazima, kisasi kitalipwa tu, regardless of what.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…