Yasemwayo na mke wa mtu wakati wa Zinaa

Yasemwayo na mke wa mtu wakati wa Zinaa

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
776
Wakati unakula mke wa mtu utasikia anakuambia. Hivi unajua mimi sijazoea kabisa mambo haya. Hivi kweli unanifanya namsaliti mume wangu!!!

Kama hujazoea si uache????
 
umesahau " unajua mume wangu ananiamini sana........."
 
'nakupa lakini usirudie tena kuniambia haya mambo'.Hii ulisahau te te teh
 
Ina maana umenidanganya mpaka leo namsaliti mume wangu,kumbe ndio mchezo wake na ameshazoea.
 
yani siamini kama namsaliti mme wangu pls tusirudie tena cjui nitamtizamaje mme wangu
 
umesahau na hii... Hv unajua toka nifunge ndoa ww ndo mwnaume wa kwnza knifundisha kutoka nje ya ndoa yng?. Cjui umeniwekea nin mpk nmekukbalia!
 
mmmmhhhhhhhhh, kumbe nyie mnakula sana wake za watu eeh...subirini cha moto....
 
Hii dunia ya empowerment tunaona rangi zote waziwazi bila kificho hata kidogo ati.
 
Mmmh! 2011 inakuja keshokutwa ebu kwa wale wanaotembea na wake za watu au waume za watu wacheni hizi tabia, ni mbaya sana wajameni
 
mh... hii mada kali na kuchangia ni kasheshe zaidi

yangu macho dah, JF ni kiboko aisee
 
wake za watu hujidai kwakushindwa kusema hawapati makwao wapatacho nje
 
Back
Top Bottom