mxyo16
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 1,243
- 758
Asa kama mabilionea pia wanashindwa ku handle mizinga.....kunakuchekana kweli hapa, dharau, kubezana...tunayo yashuhudia humu kwenye jamii yetu. Eti kuambiwa kama huna hela kaa pembeni.
Hata mizinga iwe ina limits bana!!
'It's all over': James Packer 'DUMPS' fiancée Mariah Carey over 'excessive spending' as insiders claim she is keeping the $10m engagement ring
Read more: James Packer 'DUMPS' fiancée Mariah Carey over 'excessive spending' | Daily Mail Online
Wendy Williams sijui atasemaje hapa....alishatolea mfano kwamba wadada madiva waige mfano wa Mariah, akielekeza dongo kwa Ciara aliyeolewa na mchezaji wa american football...kabla ya ndoa