pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 692
- 880
she is now ugly sio yule mzuriii wa zamani wacha abwagwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikia ile ya Bill Gates kwamba ameshakubaliana na watoto wake kuwa akifa mali zote zitaenda kwenye misaada na si urithi kwa watoto, hata Jackie Chan nae hata rithisha watoto wake, mali zitaelekezwa kwenye charities....Mabilionea wengi wamefikia hiyo hatua kwa kuwa na nidhamu katika matumizi ya pesa. Na wengine wanaona afadhali watumie pesa zao kusaidia watu wengine kuliko kuzitapanya hovyo hovyo. Akina Warren Buffet wana nidhamu kweli na pesa zao. Imagine fiancée anakwenda na kununua yatch ya $100 mil hata bila kupanga kisa eti uko bilionea?