Mabilionea wengi wamefikia hiyo hatua kwa kuwa na nidhamu katika matumizi ya pesa. Na wengine wanaona afadhali watumie pesa zao kusaidia watu wengine kuliko kuzitapanya hovyo hovyo. Akina Warren Buffet wana nidhamu kweli na pesa zao. Imagine fiancée anakwenda na kununua yatch ya $100 mil hata bila kupanga kisa eti uko bilionea?