Yasikie kwa jirani tu

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Dah hii picha imenifikirisha sana unajuwa haya mambo some time huwa tunayachukulia poa kwa sababu hayajatokea kwenye nchi zetu.

Ata hivyo wanaonekana bado wana matumaini licha ya kupitia magumu.
 
Wenye Iman zao wanakwambia ety hao wamechokoza taifa teule la MUNGU..

Unabaki unajiuliza n MUNGU yupi anapenda vita na kuuwa wtt km hawa wasio na hatiaa[emoji134]
[emoji848][emoji848]
 
Wenye Iman zao wanakwambia ety hao wamechokoza taifa teule la MUNGU..

Unabaki unajiuliza n MUNGU yupi anapenda vita na kuuwa wtt km hawa wasio na hatiaa[emoji134]
Tatizo hawajui ya kuwa maisha ni fumbo.
Hawajui ya kuwa wanayo pitia hao watoto siku moja wanaweza kuyapitia wao na watoto wao.
 
Umeona video ambayo jamaa wanakusanya mabaki ya miili ya binadamu kuweka kwenye viroba tena wengi wakiwa watoto baada ya ile hospitali kupigwa?
 
Na bado vita inakuja..

Wenyewe wangekubali kuwa chini ya Israel na siyo kusema Israel kavamia taifa lao na hawana vivid evidence or written document kulithibitisha hilo.

wakae chini wayajenge waishi kwa amani, uzuri Israel anakubali kuishi nao ndani ya Israel (maana Palestine siyo nchi).

Sasa wewe unamtekaje mtu anayekupatia maji, umeme, chakula na kuruhusu huduma za afya kuingia kwako 😳😳?
 
Dah hii picha imenifikirisha sana unajuwa haya mambo some time huwa tunayachukulia poa kwa sababu hayajatokea kwenye nchi zetu.

Ata hivyo wanaonekana bado wana matumaini licha ya kupitia magumu.View attachment 2792828
wazazi wao wahuni, wamejipaka matope usoni, unafikiri kama kitu kimgetua wangekuwa na sura hizo za smiling.
 
wazazi wao wahuni, wamejipaka matope usoni, unafikiri kama kitu kimgetua wangekuwa na sura hizo za smiling.
Ndio maana nimesema yasikie kwa jirani , kwa hiyo hata ww una sema hivyo kwa sababu hao watoto sio watoto wako wala huna mahusiano nao na ndio maana unachukulia rahisi tu.
 
Japo ni AI generated image ila ina kaujumbe kanaumiza sana.

Hawa watu wanatumika kwa faida za wengine,sidhani kama ni wajinga kiasi hicho.
 
Kweli kabisa haya mambo tuishie kuyasikia tu aisee.
 
Wenye Iman zao wanakwambia ety hao wamechokoza taifa teule la MUNGU..

Unabaki unajiuliza n MUNGU yupi anapenda vita na kuuwa wtt km hawa wasio na hatiaa[emoji134]
Ni kujitoa akili tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…