Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yasinta Kafulila amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini mkoani Kigoma.
Ni kweli kabisaMh naona saivi Ubunge ni Duka la Mangi.
Ni dada yake na David Kafulila?
NdioNi dada yake na David Kafulila?
Mdogo wake!
Kila mtanzania ana haki ya kugombeaKada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yasinta Kafulila amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini mkoani Kigoma.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Yasinta amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025, na Katibu wa CCM Wilaya ya Uvinza mkoani humo, Bahati Mwaipungu.
View attachment 3388758