PreGE2025 Yasinta Kafulila naye autaka ubunge jimbo la Kigoma kusini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwite Elon Musk Department of Efficiency anze kupunguza majimbo ya uchaguzi kwa asili mia 70,apunguze wizara kwa asilimia 50.
Cheo cha naibu waziri kifutwe,majukumu apewa katibu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…