Yasipofanyika maandamano mwaka huu itakuwa ni aibu ya karne na kuitia aibu dunia

Yasipofanyika maandamano mwaka huu itakuwa ni aibu ya karne na kuitia aibu dunia

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Dunia nzima inaitazama Tanzania

Majirani zetu Kenya wanatutazama

Tayari walishaatuonesha njia

Ila vijana wa Tanzania wanatia mashaka

Nafsi yangu inaniambia wataandamana wachache na watachapika vibaya sana.

mchana mwema!
 
Dunia nzima inaitazama Tanzania
Majirani zetu Kenya wanatutazama
Tayari walishaatuonesha njia
Ila vijana wa Tanzania wanatia mashaka
Nafsi yangu inaniambia wataandamana wachache na watachapika vibaya sana.
mchana mwema!
Take it from me, hakuna maandamano yoyote!, hakuna atakaye andamana!, hakuna fujo wala vurugu zozote, Thread 'Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?' Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?


29 October ni watu tutajitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura kuwachagua viongozi tunaowataka, kisha kurudi nyumbani kusubiria matokeo!.
P
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Hakuna wa kuandamana wengi watakua busy na keyboard 😀
 
Wewe hawajui wabongo, hakuna atae thubutu kuandamana. Sisi Bado sana
 
Maandamano yatakuwepo, tena yatakuwa makubwa sana dunia haijawahi kushuhudia

Ratiba ni kama ifuatavyo

1761079677436.png
 
Take it from me, hakuna maandamano, hakuna atakaye andamana, watu tutajitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura kuwachagua viongozi tunaowataka
P

Wapiga kura watakaoenda kupiga ni wanaSISIEMU ambao hawajielewi na wale ambao wapo kwenye mifumo(Wafaidika) tu ,hakuna mwenye akili timamu ataenda kupiga kura hata kama yupo sisiemu.

Nakubaliana na wewe ,maandamano yanahitaji kitu kitakachotrig jamii kwa pamoja kwa muda huo na si ya kupanga tarehe ,ni kitu ambacho kitanokea ghafla na kuenea kwakasi na vyombo kushindwa kukabili eg magomeni ,sirari kwa heche ni vitu vilivyozuka ghafla ,,,ukiwapa muda huo jamaa wanajipanga vizuri ila naona target ni sisiemu wapete aibu tu kwamba watu hawatojitokeza kupiga kura ila haitozuia kitu maana matokeo wanayo kwenye LAPTOP.
 
Dunia nzima inaitazama Tanzania

Majirani zetu Kenya wanatutazama

Tayari walishaatuonesha njia

Ila vijana wa Tanzania wanatia mashaka

Nafsi yangu inaniambia wataandamana wachache na watachapika vibaya sana.

mchana mwema!
Kama UKUTA tu kelele nyingi kama baiskeli ya kunolea

USSR
 
Back
Top Bottom