Yasser Abu Shabab, kiongozi wa umoja wa wanamgambo wanaowapinga magaidi wa Hamas huko Gaza

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Yasser Abu Shabab, kiongozi wa mmoja wa wanamgambo 3 wakuu wa waasi wanaopinga Hamas huko Gaza, na mwakilishi wake anayehusika na vikosi vya wanamgambo wanatangaza "biashara kama kawaida".

Wanapatikana Rafah, kusini mwa Gaza. Jana walifanikiwa kuwaua magaidi 20 wa Hamas!!!

Huyo hatoboi zimeshindwa f35 na robots iwe huyo msaliti?

🚨 Initial reports that Yasser Abu Shabab is now sieged by resistance forces
 
Yasser Abu Shabab, kiongozi wa mmoja wa wanamgambo 3 wakuu wa waasi wanaopinga Hamas huko Gaza, na mwakilishi wake anayehusika na vikosi vya wanamgambo wanatangaza "biashara kama kawaida".

Wanapatikana Rafah, kusini mwa Gaza. Jana walifanikiwa kuwaua magaidi 20 wa Hamas!!!

View attachment 3487594
Hamas ilianzishwa hivihivi na Israel lengo kuwadhoofisha PLO, ila mwisho wa siku wakajitambua! Sasa na hawa mliwapandikiza mjue watakuja kugeuka.
 
Back
Top Bottom