Yatakayojiri baada ya Yanga kutolewa na Al Hilal kesho huko Sudan

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
1. Mchezo ulikuwa wetu kabisa ule, sema wachezaji wetu wazembe sana.

2. Kocha naye kazingua sana, amechelewa sana kufanya sub.

3. Morrison naye utoto amezidi, sasa pale baada ya kufunga analeta ubishoo.

4. Kisinda angebakia kule kule Berkane, kazi yake kukimbia tu kama swala.

5. Bangala kwanini achezeshwe namba 5 wakati akicheza sita ndio ananoga?

6. Mwamnyeto siyo mchezaji wa kuchezea Yanga.

7. Aziz Ki hamna mtu mle, tumepigwa.

8. Fei Toto anasumbua bongo tu, ugenini kawa ulojo.

9. Hasira zetu sasa tuzimalizie kwa Simba tarehe 23.

10. Nabi atuachie timu yetu.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
1. Gemu ilikuwa yetu kabisa ile, sema wachezaji wetu wazembe sana
2.Kocha naye kazingua sana, amechelewa sana kufanya sub
3.Morrison naye utoto amezidi, sasa pale baada ya kufunga analeta ubishoo
4.Kisinda angebakia kule kule Berkane, kazi yake kukimbia tu kama swala
5.Bangala kwann achezeshwe namba 5 wakati akicheza sita ndio ananoga
6.Mwamnyeto sio mchezaji wa kcuhezea Yanga
7.Aziz Ki hamna mtu mle, tumepigwa
8.Fei Toto anasumbua bongo tu, ugenini kawa ulojo
9.Hasira zetu sasa tuzimalizie kwa Simba tarehe 23.
10.Nabi atuachie timu yetu

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
umekunywa mbege lita ngapi wewe?
 
Watavurugana sana kesho bila sababu wakati timu yao ni ndogo kimataifa
 
1. Mchezo ulikuwa wetu kabisa ule, sema wachezaji wetu wazembe sana.

2. Kocha naye kazingua sana, amechelewa sana kufanya sub.

3. Morrison naye utoto amezidi, sasa pale baada ya kufunga analeta ubishoo.

4. Kisinda angebakia kule kule Berkane, kazi yake kukimbia tu kama swala.

5. Bangala kwanini achezeshwe namba 5 wakati akicheza sita ndio ananoga?

6. Mwamnyeto siyo mchezaji wa kuchezea Yanga.

7. Aziz Ki hamna mtu mle, tumepigwa.

8. Fei Toto anasumbua bongo tu, ugenini kawa ulojo.

9. Hasira zetu sasa tuzimalizie kwa Simba tarehe 23.

10. Nabi atuachie timu yetu.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Nimecheka haswaa.

Nimesikiliza videos instagram, kwa hakika ndicho wanachokisema.

Ahsante sana Mkuu.
 
1. Mchezo ulikuwa wetu kabisa ule, sema wachezaji wetu wazembe sana.

2. Kocha naye kazingua sana, amechelewa sana kufanya sub.

3. Morrison naye utoto amezidi, sasa pale baada ya kufunga analeta ubishoo.

4. Kisinda angebakia kule kule Berkane, kazi yake kukimbia tu kama swala.

5. Bangala kwanini achezeshwe namba 5 wakati akicheza sita ndio ananoga?

6. Mwamnyeto siyo mchezaji wa kuchezea Yanga.

7. Aziz Ki hamna mtu mle, tumepigwa.

8. Fei Toto anasumbua bongo tu, ugenini kawa ulojo.

9. Hasira zetu sasa tuzimalizie kwa Simba tarehe 23.

10. Nabi atuachie timu yetu.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Naona umebakia tu na aibu! Maana hali ya hewa iko shwari kabisa.
 
Back
Top Bottom