Yatambue mafaza ya Simba SC yasiyogusika hata yakivurunda au kuuza mechi

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
*manula.... huyu hata kumuelezea ni ngumu siku akiamua kudaka anadaka kwelikweli siku akiamu kuvurunda kama jana utafurahi mwenyewe kwa huzuni

*Boko .... Huyu naye kama Manula probably hana miaka 32 kama anavyosema

*Wawa .... Hili ndilo kubwa la magodfather huwa halipendi kuruka kama goli la pili jana utadhani mpira wa watoto wa primary school kuna possibility kwamba pasenti ya mshahara wake anawagaia baadhi ya viongozi na benchi la ufundi maana mechi na bishara alitakiwa atolewe sub akakataa akabisha na Gomez akamuogopa hakutoka badala yake akatolewa Inonga, huyu ni mojawapo ya wastaafu ambao hata kuuza mechi kubwa za afrika haoni hatari anakusanya pensheni za mwishomwisho

*Zimbwe jr ... Jana kaboa sitashangaa kama naye alikula mlungula sitashangaa hata kama ile mechi ya Kaizer Chiefs south africa naye alihusika kwenye maprekecheee, apumzishwe kwanza Gadiel naye acheze liwalo na liwe

*Kapombe...disaster kubwa jana apumzike Mwenda acheze tu maprekeche ya jana yeye na zimbwe kwa kweli duuuh,atalaaniwa sana kama alikuala mlungula

Hao watano kwa kweli wapumzike tu, lwanga naye apumzike namba sita asogee Inonga,Kennedy na Nonyango wakae katikati, Mwenda na Gadiel Michael wacheze pembeni Kakolanya golini, Kagere aanze mbele

LIWALO NA LIWE MAANA HATA UBINGWA INAVYOONEKANA MWAKA HUU NI W A UTOPWINYO
 
Kwani Mwijaku anasemaje?
IMG-20211024-WA0007.jpg
 
Ndugu, io ndo futiboli. kwaio unachokiwaza simba haiwezi kufungwa?? uchizi, kama timu haijawai kuchukua ubingwa wa Afrika, then unajiaminisha kama ikifungwa basi akina zimbwe na wengine wamechukua mlungula basi huko ndo kuruka kwa akili.

Kwanini hausifii matokeo ya game ya kwanza?? umesahau zimbwe ndo beki bora TPL?? Manula ni kipa bora TPL na ASFC, boko ndo mfungaji bora TPL, na kapombe pamoja na hao wametauliwa kwenye kikosi bora cha msimu?. Wape heshima yao bwana. Unadhani kaizer chief ni levo sawa na simba?? hampati hata kwa rasilimali za klabu still unatuletea upwekepweke wako hapa.... Ile ni futiboli na mtu anafungwa popote na yeyote.

Mwisho, Penda kwanza mpira halafu uipende timu..
 
TuliA wewe kwa taarifa yako mpunga ulitoka watu wamekula hela UNAKUMBUKA MECHI ILIVYOANZA MPIRA FULANI MANULA ALIMPELEKEA JAMAA WA JUANWENG MGUUNI? DEFENCE YOTE KASORO INONGA JANA WALIKUWA MADUKA , UTACHEKWA WEWE NA POROJO ZAKO ZA MATOKEO MATATU
HADI KAPOMBE MWISHONI ALIENDA GOLINI KWA WATSWANA KUWASAIDIA KUZUIA GOLI LILILOKUWA LINAINGIA

Ifikie mahali wawa aondoke Simba. Kapombe apumzike kwanza na Simba isajili mshambuliaji. Yakitokea hayo nitaanza tena kushabikia mpira wa Tanzania (Simba).

Kwasasa narudi kuwa kama zamani tu.
 
TuliA wewe kwa taarifa yako mpunga ulitoka watu wamekula hela UNAKUMBUKA MECHI ILIVYOANZA MPIRA FULANI MANULA ALIMPELEKEA JAMAA WA JUANWENG MGUUNI? DEFENCE YOTE KASORO INONGA JANA WALIKUWA MADUKA , UTACHEKWA WEWE NA POROJO ZAKO ZA MATOKEO MATATU
HADI KAPOMBE MWISHONI ALIENDA GOLINI KWA WATSWANA KUWASAIDIA KUZUIA GOLI LILILOKUWA LINAINGIA
Sasa wewe unachodhani simba anaubora kwa kiasi gani??? Mukifungwa ndo munajua wachezaji wamepokea pesa, Ebu tutolee mawazo ya mwamedi hapa.

Kipa wa liverpool alimpa Benzema mpira mguuni, tena ni fainali.. na yule tunasemaje??? kumbuka tu kuna siku mbaya kazini na iyo hutokea, hauwezi kucheka na kusifia kila siku lazima ulie siku moja moja.....
 
*manula.... huyu hata kumuelezea ni ngumu siku akiamua kudaka anadaka kwelikweli siku akiamu kuvurunda kama jana utafurahi mwenyewe kwa huzuni

*Boko .... Huyu naye kama Manula probably hana miaka 32 kama anavyosema

*Wawa .... Hili ndilo kubwa la magodfather huwa halipendi kuruka kama goli la pili jana utadhani mpira wa watoto wa primary school kuna possibility kwamba pasenti ya mshahara wake anawagaia baadhi ya viongozi na benchi la ufundi maana mechi na bishara alitakiwa atolewe sub akakataa akabisha na Gomez akamuogopa hakutoka badala yake akatolewa Inonga, huyu ni mojawapo ya wastaafu ambao hata kuuza mechi kubwa za afrika haoni hatari anakusanya pensheni za mwishomwisho

*Zimbwe jr ... Jana kaboa sitashangaa kama naye alikula mlungula sitashangaa hata kama ile mechi ya Kaizer Chiefs south africa naye alihusika kwenye maprekecheee, apumzishwe kwanza Gadiel naye acheze liwalo na liwe

*Kapombe...disaster kubwa jana apumzike Mwenda acheze tu maprekeche ya jana yeye na zimbwe kwa kweli duuuh,atalaaniwa sana kama alikuala mlungula

Hao watano kwa kweli wapumzike tu, lwanga naye apumzike namba sita asogee Inonga,Kennedy na Nonyango wakae katikati, Mwenda na Gadiel Michael wacheze pembeni Kakolanya golini, Kagere aanze mbele

LIWALO NA LIWE MAANA HATA UBINGWA INAVYOONEKANA MWAKA HUU NI W A UTOPWINYO
ndio uzi tayali?
 
Sasa wewe unachodhani simba anaubora kwa kiasi gani??? Mukifungwa ndo munajua wachezaji wamepokea pesa, Ebu tutolee mawazo ya mwamedi hapa.

Kipa wa liverpool alimpa Benzema mpira mguuni, tena ni fainali.. na yule tunasemaje??? kumbuka tu kuna siku mbaya kazini na iyo hutokea, hauwezi kucheka na kusifia kila siku lazima ulie siku moja moja.....
hujui lolote wewe , Kina magori juzi waliambiwa mechi ishauzwa hawakuamini unadhani ile tweet yake ya jana kulalamiak usaliti hakujua kilichofanyika?
 
Ndugu, io ndo futiboli. kwaio unachokiwaza simba haiwezi kufungwa?? uchizi, kama timu haijawai kuchukua ubingwa wa Afrika, then unajiaminisha kama ikifungwa basi akina zimbwe na wengine wamechukua mlungula basi huko ndo kuruka kwa akili.

Kwanini hausifii matokeo ya game ya kwanza?? umesahau zimbwe ndo beki bora TPL?? Manula ni kipa bora TPL na ASFC, boko ndo mfungaji bora TPL, na kapombe pamoja na hao wametauliwa kwenye kikosi bora cha msimu?. Wape heshima yao bwana. Unadhani kaizer chief ni levo sawa na simba?? hampati hata kwa rasilimali za klabu still unatuletea upwekepweke wako hapa.... Ile ni futiboli na mtu anafungwa popote na yeyote.

Mwisho, Penda kwanza mpira halafu uipende timu..
Feitoto kapata tuzo mbele ya konde boy inamaana kweli amemzidi ubora, tuzo feki zisikudanganye
 
Khaa sasa ilo la kushangaa, halafu na wewe kumbe ni mule mule , kwani haujui ubora wa Fei.?? na Fei amechukua tuzo ya ASFC, sasa unambie huyo konde amecheza game ngapi za ASFC na performance yake ilikuaje ila ninachomaanisha ni kwamba tusijaribu kujenga hoja za kuwakandamiza wachazaji kwa kile tunakiona sisi nje ya uwanja.. kufungwa kupo.. usilete mlenda wako hapa
 
Katafute takwimu kabla ya kuanza kubishana
 
Back
Top Bottom