Mkwekwe_mchanja
Senior Member
- Oct 16, 2020
- 153
- 170
we pia leta takwimu alafu utuambie unatumia kigezo gani cha kumpa konde mchezaji bora??Katafute takwimu kabla ya kuanza kubishana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we pia leta takwimu alafu utuambie unatumia kigezo gani cha kumpa konde mchezaji bora??Katafute takwimu kabla ya kuanza kubishana
Tulia wewe endelea na story zako za mpira una matokeo matatu hii thread ni way above your level
Ana mguuu....Kwani Mwijaku anasemaje?View attachment 1986299
Kuna mtu alileta analysis yake hapa na kutuonesha Kapombe ndo beki bora wa kulia kwa sasa Tanzania. Sasa mnapomponda nawashangaa wakati mlimuunga mkono mchambuzi Yule.Ifikie mahali wawa aondoke Simba. Kapombe apumzike kwanza na Simba isajili mshambuliaji. Yakitokea hayo nitaanza tena kushabikia mpira wa Tanzania (Simba).
Kwasasa narudi kuwa kama zamani tu.
Poleni timu korokocho, msilalame Sana, dirisha dogo piga uwa muwasajili upya miquisone na chama son. vinginevyo hesabuni miaka Saba ya majonzi na Saba ya furaha Kwa watani wenu wajadi mafundi wa mpira mabingwa wa mpira na makombe🤸 .*manula.... huyu hata kumuelezea ni ngumu siku akiamua kudaka anadaka kwelikweli siku akiamu kuvurunda kama jana utafurahi mwenyewe kwa huzuni
*Boko .... Huyu naye kama Manula probably hana miaka 32 kama anavyosema
*Wawa .... Hili ndilo kubwa la magodfather huwa halipendi kuruka kama goli la pili jana utadhani mpira wa watoto wa primary school kuna possibility kwamba pasenti ya mshahara wake anawagaia baadhi ya viongozi na benchi la ufundi maana mechi na bishara alitakiwa atolewe sub akakataa akabisha na Gomez akamuogopa hakutoka badala yake akatolewa Inonga, huyu ni mojawapo ya wastaafu ambao hata kuuza mechi kubwa za afrika haoni hatari anakusanya pensheni za mwishomwisho
*Zimbwe jr ... Jana kaboa sitashangaa kama naye alikula mlungula sitashangaa hata kama ile mechi ya Kaizer Chiefs south africa naye alihusika kwenye maprekecheee, apumzishwe kwanza Gadiel naye acheze liwalo na liwe
*Kapombe...disaster kubwa jana apumzike Mwenda acheze tu maprekeche ya jana yeye na zimbwe kwa kweli duuuh,atalaaniwa sana kama alikuala mlungula
Hao watano kwa kweli wapumzike tu, lwanga naye apumzike namba sita asogee Inonga,Kennedy na Nonyango wakae katikati, Mwenda na Gadiel Michael wacheze pembeni Kakolanya golini, Kagere aanze mbele
LIWALO NA LIWE MAANA HATA UBINGWA INAVYOONEKANA MWAKA HUU NI W A UTOPWINYO
Na tatizo kubwa la simba kwa sasa ni uchovu wa wachezaji! Na tutashuudia mengi ligi itakapo changanya. Kuna dalili ya watu kupoteana humu.Yani bado hamtaki kukubari Simba Ina team mbovu msimu huu, mnaanza kutafuta sababu!
Kuna tofauti kubwa Kati ya mashabiki wa Simba na Yanga!
Nionyeshe comment yangu nikimuunga mkono.Kuna mtu alileta analysis yake hapa na kutuonesha Kapombe ndo beki bora wa kulia kwa sasa Tanzania. Sasa mnapomponda nawashangaa wakati mlimuunga mkono mchambuzi Yule.
Utootni km fisi kumfuata binadamu akidhani mkono utadondoka apate kitoweo.Na tatizo kubwa la simba kwa sasa ni uchovu wa wachezaji! Na tutashuudia mengi ligi itakapo changanya. Kuna dalili ya watu kupoteana humu.
Ushahidi mdogo tu ni mechi dhidi ya Yanga, Biashara na Dodoma Jiji! Wachezaji wengi wamechoka kuanzia akili mpaka miili yao! Na uzuri tuliwatahadharisha humu!
Ubingwa msimu huu, wasahau. Labda kwa miaka ijayo.
Acha ujinga Fei alikuwa na perfomance ipi zaidi ya Miquisone. Apo umepuyanga sababu ya ushabiki maandazi mpira Ni takwimu.Khaa sasa ilo la kushangaa, halafu na wewe kumbe ni mule mule , kwani haujui ubora wa Fei.?? na Fei amechukua tuzo ya ASFC, sasa unambie huyo konde amecheza game ngapi za ASFC na performance yake ilikuaje ila ninachomaanisha ni kwamba tusijaribu kujenga hoja za kuwakandamiza wachazaji kwa kile tunakiona sisi nje ya uwanja.. kufungwa kupo.. usilete mlenda wako hapa
Mbona wewe unafumukuwa lakini hujawa mpya?Hii minyau yote kumbe ilikua inasaidiwa na watu wawili tu aisee. Timu inabidi ifumuliwe isukwe upya.
Anasema wewe ni chakulaKwani Mwijaku anasemaje?View attachment 1986299
Hakuna timu ambayo haijawahi kufungwa, sio simba pekee imetolewa katika round hii.*manula.... huyu hata kumuelezea ni ngumu siku akiamua kudaka anadaka kwelikweli siku akiamu kuvurunda kama jana utafurahi mwenyewe kwa huzuni
*Boko .... Huyu naye kama Manula probably hana miaka 32 kama anavyosema
*Wawa .... Hili ndilo kubwa la magodfather huwa halipendi kuruka kama goli la pili jana utadhani mpira wa watoto wa primary school kuna possibility kwamba pasenti ya mshahara wake anawagaia baadhi ya viongozi na benchi la ufundi maana mechi na bishara alitakiwa atolewe sub akakataa akabisha na Gomez akamuogopa hakutoka badala yake akatolewa Inonga, huyu ni mojawapo ya wastaafu ambao hata kuuza mechi kubwa za afrika haoni hatari anakusanya pensheni za mwishomwisho
*Zimbwe jr ... Jana kaboa sitashangaa kama naye alikula mlungula sitashangaa hata kama ile mechi ya Kaizer Chiefs south africa naye alihusika kwenye maprekecheee, apumzishwe kwanza Gadiel naye acheze liwalo na liwe
*Kapombe...disaster kubwa jana apumzike Mwenda acheze tu maprekeche ya jana yeye na zimbwe kwa kweli duuuh,atalaaniwa sana kama alikuala mlungula
Hao watano kwa kweli wapumzike tu, lwanga naye apumzike namba sita asogee Inonga,Kennedy na Nonyango wakae katikati, Mwenda na Gadiel Michael wacheze pembeni Kakolanya golini, Kagere aanze mbele
LIWALO NA LIWE MAANA HATA UBINGWA INAVYOONEKANA MWAKA HUU NI W A UTOPWINYO
Jina lake la mwanzoni ni kama la Yule aliyewahi kuwa Kiongozi wa TFF ( zamani FAT ) ambaye sasa ni Marehemu ( tena Kafariki ) mwaka huu huu.HUYO NAMBA NNE NI yule dereva mweupe wa mabasi ya fiesta tour? anayeaminika na kusaga? thAbalala sishangai ashaanza kuwa business minded anafungua ma business hajali tena tuna shida kubwa sana Gomez katolewa kafara ila hawa kina manula zimbwe kapombe wawa wana dharau sana nitafurahi wakifungiwa kabisa
Lete takwimu sasa, mbona unaleta maneno pekee. we umekazania mapenzi ya mchezaji na jina alokuwa nalo kuliko performance.Acha ujinga Fei alikuwa na perfomance ipi zaidi ya Miquisone. Apo umepuyanga sababu ya ushabiki maandazi mpira Ni takwimu.
Kaa kimya kabisa ukisikia watu wanaongea ni takwimu zinaongea.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Akae kwanza benchi akili zimkae ,amesababisha magoli mengi sana kwasababu kwanza hana speed na poor marking ,yeye na Manula wamezoeana sana pale nyuma kila moja anajifanya mjuajiWawa kama atacheza basi asogee mbele acheze namba mbili 2 ya Kapombe.
Hafai kuwa beki wa karibu na goli kwakuwa hawezi kabisa kukaba mipira ya juu.
Unamshinda hadi mpira wa kurusha anauangalia tu mpira haangalii unatua wapi na kuna nani.