Yatambue mafaza ya Simba SC yasiyogusika hata yakivurunda au kuuza mechi

Mwandishi usiwe mjinga kihivyo kwamba Simba hawafai kufungwa na kwamba wakifungwa basi wachezaji wameuza mechi, haya ni mambo ya kipumbavu sana.

Ulaya timu zikifungwa mnakubali kwamba ndio mpira hadi mnasema eti mpira unadunda lakini Simba akifungwa ni visingizio kibao, ni ujinga tu mnafanya.

Mnasema eti hata mechi na Kaizer Chiefs kule SA timu ilihongwa sasa kwa nini Dar es salaam walishinda kama ni hivyo.
Very stupid people.
 
Ifikie mahali wawa aondoke Simba. Kapombe apumzike kwanza na Simba isajili mshambuliaji. Yakitokea hayo nitaanza tena kushabikia mpira wa Tanzania (Simba).

Kwasasa narudi kuwa kama zamani tu.
Kuna mtu alileta analysis yake hapa na kutuonesha Kapombe ndo beki bora wa kulia kwa sasa Tanzania. Sasa mnapomponda nawashangaa wakati mlimuunga mkono mchambuzi Yule.
 
Hivi kweli simba kufungwa na kaizer chiefs sababu ilihongwa.

Hivi bajeti ya kaizer chiefs simba anaifikia kweli?

Assets za kaizer chiefs simba anazifikia hata robo?

Hata wale galaxy sio timu maskini. Haina tofauti yoyote na simba kwa quality ya wachezaji na hata mishahara inayolipa
 
Poleni timu korokocho, msilalame Sana, dirisha dogo piga uwa muwasajili upya miquisone na chama son. vinginevyo hesabuni miaka Saba ya majonzi na Saba ya furaha Kwa watani wenu wajadi mafundi wa mpira mabingwa wa mpira na makombe🤸 .
 
Yani bado hamtaki kukubari Simba Ina team mbovu msimu huu, mnaanza kutafuta sababu!

Kuna tofauti kubwa Kati ya mashabiki wa Simba na Yanga!
Na tatizo kubwa la simba kwa sasa ni uchovu wa wachezaji! Na tutashuudia mengi ligi itakapo changanya. Kuna dalili ya watu kupoteana humu.

Ushahidi mdogo tu ni mechi dhidi ya Yanga, Biashara na Dodoma Jiji! Wachezaji wengi wamechoka kuanzia akili mpaka miili yao! Na uzuri tuliwatahadharisha humu!

Ubingwa msimu huu, wasahau. Labda kwa miaka ijayo.
 
Kuna mtu alileta analysis yake hapa na kutuonesha Kapombe ndo beki bora wa kulia kwa sasa Tanzania. Sasa mnapomponda nawashangaa wakati mlimuunga mkono mchambuzi Yule.
Nionyeshe comment yangu nikimuunga mkono.
 
Utootni km fisi kumfuata binadamu akidhani mkono utadondoka apate kitoweo.

Ulichoandika ni DUA ya kuiombea Simba mabaya.siyo uchambuzi

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga Fei alikuwa na perfomance ipi zaidi ya Miquisone. Apo umepuyanga sababu ya ushabiki maandazi mpira Ni takwimu.

Kaa kimya kabisa ukisikia watu wanaongea ni takwimu zinaongea.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna timu ambayo haijawahi kufungwa, sio simba pekee imetolewa katika round hii.

Hawa wachezaji tunao waita majina mabaya ya kila aina kama wangeshinda mechi ile tungewapa kila aina ya sifa.
 
Jina lake la mwanzoni ni kama la Yule aliyewahi kuwa Kiongozi wa TFF ( zamani FAT ) ambaye sasa ni Marehemu ( tena Kafariki ) mwaka huu huu.
 
Wawa kama atacheza basi asogee mbele acheze namba mbili 2 ya Kapombe.
Hafai kuwa beki wa karibu na goli kwakuwa hawezi kabisa kukaba mipira ya juu.
Unamshinda hadi mpira wa kurusha anauangalia tu mpira haangalii unatua wapi na kuna nani.
 
Acha ujinga Fei alikuwa na perfomance ipi zaidi ya Miquisone. Apo umepuyanga sababu ya ushabiki maandazi mpira Ni takwimu.

Kaa kimya kabisa ukisikia watu wanaongea ni takwimu zinaongea.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Lete takwimu sasa, mbona unaleta maneno pekee. we umekazania mapenzi ya mchezaji na jina alokuwa nalo kuliko performance.
Unalaza mbongo yako kwa kukaririshwa. kichwa maji
 
Wawa kama atacheza basi asogee mbele acheze namba mbili 2 ya Kapombe.
Hafai kuwa beki wa karibu na goli kwakuwa hawezi kabisa kukaba mipira ya juu.
Unamshinda hadi mpira wa kurusha anauangalia tu mpira haangalii unatua wapi na kuna nani.
Akae kwanza benchi akili zimkae ,amesababisha magoli mengi sana kwasababu kwanza hana speed na poor marking ,yeye na Manula wamezoeana sana pale nyuma kila moja anajifanya mjuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…