Yathibitika: Baadhi ya wanaume hupata mzio (allergy) baada ya kujamiiana!

Mmmmh
asante kwa kuniambia,
thatha wale wa kuvaa nguo mpya kila siku
kama akina Mtambuzi na wenzie si ni wagonjwa wa mafua ya kudumu kabisa, looooh.

Sasa unajua inakuwaje: Ukisha mjua yule anayekupa haya "mauzauza' (aka hiyo nguo mpya inayokupa hiyo 'allegy' kama ni ya 'polyster au khaki🙂 unaikwepa kuivaa tu🙂 . Kwa maneno mengine demu akikupigia simu kutaka mechi wee unatoa nje kiana aina tu...ali mradi usikumbane na hiyo hali🙂

Lakini mimi hapa nimeelewa kwamba allergy yao ni zile homon za baada ya kufika kileleni sio allergy ya k kama alivyosema Braine. zile homon nihatari hizo zikiingia kwenye fahamu mwanaume huwa anapoteza ufahamu kwa sekunde kadhaa, anaweza akatoa ahadi ambayo hana hata uwezo wa kuitimiza,. Kwa hapo sipingi.
 
Wakati utakuwa haujapenda
Ukipenda sawa sawa siyo rahisi
kihiivyo.

anamaanisha under 35 yrs hupatwi mafua kabisa

ushauri wangu:fanya before that age au ubaki bikra ivo ivo hadi uzee
ama unapenda mafua?

heri mafua kuliko kukohoa..!!!🙂:smile-big:🙂
 
Pengine siku hizi pauchi nyingi zimekuwa-contaminated na makemikali mengi ya kurudishia maumbile au kusafishia.
 
Acha majungu Bujibuji umeshakuwa mzee sasa lakini bado tu hukui?
Najua kinachokuuma ni kumbukumbu ya mautamu aliyokuwa anakupa mama watoto wangu mwaJ sasa kila ukimkumbuka unachanganyikiwa.

Mimi na my wife wangu mwaJ damu zetu zinapatana sana wala hata siku moja sijawahi kuhisi dalili za mafua.Najua hili ni tatizo lako wewe Bujibuji na Mamndenyi kwakuwa mmeshindwa kutulia na wenzenu kila siku mnawabadilisha kama mchezo wa volleyball.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaaaaaaaa! Hii ndio taabu ya kuwa na majirani wambea kupita kiasi! Mwita Maranya sijui lile ghorofa letu litaisha lini tuhame huu mtaa. Nimewachoka kina Bujibuji na Mamndenyi kwa umbea na uongo wao!
 
Last edited by a moderator:
mwaJ hivi kuna dalili ya ghorofa kuisha wakati kila upande wa vijisenti umezibwa;
pole zenu mwanya.

Ha ha ha haaaaaaaaa! Hii ndio taabu ya kuwa na majirani wambea kupita kiasi! Mwita Maranya sijui lile ghorofa letu litaisha lini tuhame huu mtaa. Nimewachoka kina Bujibuji na Mamndenyi kwa umbea na uongo wao!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaaaaaaaa! Hii ndio taabu ya kuwa na majirani wambea kupita kiasi! Mwita Maranya sijui lile ghorofa letu litaisha lini tuhame huu mtaa. Nimewachoka kina Bujibuji na Mamndenyi kwa umbea na uongo wao!
mwaJ, airtel hawatoi zawadi ya magorofa, nasikia huonekani JF umejichimbia Sumbawanga ukisafisha nyota uwini na airtel. Mamndenyi na mimi hatuna haja ya magorofa, penzi letu LATOSHA
 
Last edited by a moderator:
mwaJ, airtel hawatoi zawadi ya magorofa, nasikia huonekani JF umejichimbia Sumbawanga ukisafisha nyota uwini na airtel. Mamndenyi na mimi hatuna haja ya magorofa, penzi letu LATOSHA
Wewe nae! basi tangu huyo Mamndenyi akukubali huna jingine! Umebaki penzi penzi! Kwani nani hapendwi?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…