Mmmmh
asante kwa kuniambia,
thatha wale wa kuvaa nguo mpya kila siku
kama akina Mtambuzi na wenzie si ni wagonjwa wa mafua ya kudumu kabisa, looooh.
By Kashishi![]()
Hapana, ni tatizo ambalo lipo hata kwa wanaume wa KiAfrika. Mara nyingi hutokea unapo jamiiana na partner ambaye ni mpya (inakuwa kama damu zimekataana hivi) au particular unapo jamiiana na partner fulani tu na si wengineo. Na mara nyingi inapotokea mka kiss na kulishana maudenda🙂 ndo inakauwa 'worse' kabisa siku ya pili yake homa hiyooo!. Mimi binafsi nimekuwa nikionelea kuwa ni tatizo linalo sababishwa na udhaifu wa kinga za mwili (immune) zaidi mwanamme anapojamiiana na baadhi ya partner. Maana kama ndio ulispendi weekend na demu halafu J'matu,J''nne wewe hoi unaaanza kuhisi... hee heee duh!.. demu ameniachia 'ngoma' nini🙂 teh teh!
Sasa unajua inakuwaje: Ukisha mjua yule anayekupa haya "mauzauza' (aka hiyo nguo mpya inayokupa hiyo 'allegy' kama ni ya 'polyster au khaki🙂 unaikwepa kuivaa tu🙂 . Kwa maneno mengine demu akikupigia simu kutaka mechi wee unatoa nje kiana aina tu...ali mradi usikumbane na hiyo hali🙂
