Yathibitika kuwa profesa Jay ndie msanii wa Tanzania mwenye VVU (Vina Vya Ukweli)

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Wadau mbalimbali wa muziki hapa nchini, wote kwa pamoja wamesema kuwa Prof Jay ndie msanii aliyeweza kukaa kwenye gemu muda mrefu hapa nchini kwasababu ya VVU.

kirefu cha neno VVU- Vina Vya Ukweli
 
kuwa makini mimi nilifikiri VVU/UKIMWI
 
Wadau mbalimbali wa muziki hapa nchini, wote kwa pamoja wamesema kuwa Prof Jay ndie msanii aliyeweza kukaa kwenye gemu muda mrefu hapa nchini kwasababu ya VVU.

kirefu cha neno VVU- Vina Vya Ukweli

Hahahahaha! Umetisha
 
aah nlidhani virusi vya ukimwi,nlikua nataka nikuandikie notification ukachukue 7000 Lumumba
 
hahaaa nishatoka lumumba tayari, nipo hapa Sinza kona, napata moja bariidi! nikasikia wadau wa muziki wa kibongo wanasema hayo
 
Wadau mbalimbali wa muziki hapa nchini, wote kwa pamoja wamesema kuwa Prof Jay ndie msanii aliyeweza kukaa kwenye gemu muda mrefu hapa nchini kwasababu ya VVU.

kirefu cha neno VVU- Vina Vya Ukweli

yan vina vikali usipime
 
Mtasema yote round hii, hili ni joto lenye hasira
 
Nyie wafanyakazi wa global publishers ni noma, Ila sasa si kama unatonesha kidonda, ni humhumu walishamnanga huyo profesa kuhusu hao VVU wa kweli. Au nia yako ilikuwa kuifufua hiyo mada maana wanafiki wana mbinu nyingi.
 
Back
Top Bottom