Yatokanayo Taifa Stars na nguvu ya mafuta ya Simba katika kutawala na kumiliki

Nimekuelewa vyema! Maelezo mazuri Sana
 
Yule mchungaji wa Amber Rutty kaibuka na maono makubwa juu ya ushindi wa taifa stars... Lakini hataki kuyatoa hapa... Anaitaka serikali imgharamie kila kitu kuanzia viza, usafiri, malazi, chakula na posho aende Misri iliko timu akatoe maono yake
 
"Tatizo la Afrika kila mtu anafahamu mpira. Kila mtu anaweza kukwambia mbinu na mifumo. Ni lazima tuseme ukweli, wachezaji wetu wa Tanzania wengi wanacheza ligi ya ndani, sasa huwezi kuwalinganisha na timu ambayo wengi wao wanacheza nje."- Emmanuel Amunike, Kocha wa Taifa Stars
 
Yule mchungaji wa Amber Rutty kaibuka na maono makubwa juu ya ushindi wa taifa stars... Lakini hataki kuyatoa hapa... Anaitaka serikali imgharamie kila kitu kuanzia viza, usafiri, malazi, chakula na posho aende Misri iliko timu akatoe maono yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naked truth....
 
Mkuu mafuta ya simba naweza kuyapata ktk mazingira gan?
 
Dar Ni Jotoo asee ni hatarii ...Siasa Inapelekwa hadi Kwenye Mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…