Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #21
Tuache watekeleze ilan ya chama[emoji3][emoji3][emoji3]
True mkuu,tulikosea haswa tena HASWA!
Na kuitoa hii ideology ni ngumu sana kwa sasa.
Rais Dkt. Magufuli ungelifanya hili kuliko Kumruhusu RC Makonda kwenda Misri ungekonga Nyoyo za Watanzania wengi - JamiiForums
Kama kuna Siku ambayo Rais wangu umeniangusha basi ni leo hasa kwa Kitendo chako cha Kuamua Kumruhusu Rais wa Wakuu wa Mikoa wote nchini Tanzania na Mwanao Kipenzi na asiyegusika Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda aende nchini Misri kuipa nguvu Timu yetu mbovu mbovu ya Taifa Stars...