Yatokanayo Taifa Stars na nguvu ya mafuta ya Simba katika kutawala na kumiliki

Yatokanayo Taifa Stars na nguvu ya mafuta ya Simba katika kutawala na kumiliki

Tuache watekeleze ilan ya chama[emoji3][emoji3][emoji3]
True mkuu,tulikosea haswa tena HASWA!
Na kuitoa hii ideology ni ngumu sana kwa sasa.
 
Aah.. Ngoja nikapige soga na wafu wangu mie... Wanadamu wamelala muda huu... Mochwari bila soga na hawa watu huwa kupweke sana
IMG-20190625-WA0135.jpeg
 
I wish ingekuwa Boeing 737 MAX8 just saying..[emoji2296] uwiiiii ! Yule wa Malaysia alisema Gudnite Air Malaysia!
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshana na mie nakupaka mafuta ya Simba nawe nenda ili iwe Kenya 0/Tanzania 3 na utakaporudi nyumbani ntakupatia bonge la suprise ili waliokusema wasikie soni
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Swala la kuzingatia.
1.Mashimo apelekwe Misri haraka kuitabiria timu.
2. Wachezaji wanunuliwe misosi ya uhakika na wasimamiwe wakati wa kuila hadi waimalize.
 
Swala la kuzingatia.
1.Mashimo apelekwe Misri haraka kuitabiria timu.
2. Wachezaji wanunuliwe misosi ya uhakika na wasimamiwe wakati wa kuila hadi waimalize.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom