Yatokanayo Taifa Stars na nguvu ya mafuta ya Simba katika kutawala na kumiliki

Mshana Jr juzi yako ndefu mno bhana, nyuzi zako ndefu nasomaga zile zinazo huasiana na yale mambo yako mengine, kwenye spoti ukiandika ndefu hivi naachaga kusoma kabisa, FUPISHA kidogo kaka
 
Mshana Jr juzi yako ndefu mno bhana, nyuzi zako ndefu nasomaga zile zinazo huasiana na yale mambo yako mengine, kwenye spoti ukiandika ndefu hivi naachaga kusoma kabisa, FUPISHA kidogo kaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]soma yote itakufikisha kileleni
 
Wakuu mbona mmekausha hili gemu nataka nilichek ktk simu tupeana link au app
 
 
Kila kitu wanajua wao..haya ngoja tutashinda na Algeria ili tufuzu 16 bora...Wamtume na mwingine tuendelee kula mema ya nchi.Maana mashabiki ni wao tu...
 
I hate fantasy wishful thinking... Hivi kwanini tunapenda kuishi Katika vitu vya kufikirika kuliko uhalisia? Tulikosea sana tulipoipa siasa thamani kubwa na kuifanya ndio dira yetu kwenye kila jambo
Mshana sasa tatizo ni siasa au mafuta ya simba?
 
Nadhani hata kufuzu kwenda kucheza Misri ilikuwa siasa, Uganda wametuachia tuwafunge 3-0, sisi tukubali tu tupo nyuma kimpira katika Afrika, bora timu ya taifa itoke Zanzibar
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Harambee stars wataipiga Taifa stars ambayo imeenda kukutana na ma_stars goli 3+
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ kautabiri kameenda vizuri.
Sasa Kenya shughuli yenu imekwisha mnakutana na Mbogo aliyejeruhiwa MK254 andaeni kapu la goli nne
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kautabiri kameenda vizuri.
Sasa Kenya shughuli yenu imekwisha mnakutana na Mbogo aliyejeruhiwa MK254 andaeni kapu la goli nne
Akistaafu nitampa ajira ya utabiri [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu nimekuelewa sana kwa hayo mafuta ya SIMBA...
Ila itabidi uje na post special kwajili ya hii makitu...
 
Umeeleweka kwa lugha kubwa Mshana Jr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…