Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kama kila akija kwako anaishia 'kuchinjwa' apaitaje?
[MENTION]Kaka lulu huyo embu mwangalie vizuri
Sasa kama kila akifika hapo kwako anakukuta kisu mkononi unataka kumchinja, asemeje?
BADILI TABIA..........hivi akichinjwa hafi anabakia khai wajamani?
pole kaka ila watu nyie mie wala sihisi huruma juu yenu hata!!
kuna uchinjaji ambao mchinjwa hafi......sasa mwenzio kachoka kuchinjwa daily
Merrita......kama hunionei huruma sasa pole ya nini kama siyo wanisanifu tu.............
Heri yako, mie niliwahi kuitwa KIGODORO.................................