Yaweza kuwa Kikwete amerudi madarakani kwa sura nyingine?

Kundi lililopoteza ni kipindi chao cha kuja na ramli chonganisha kwa kwa uhakika hawana tena.
Ccm asili ndo inayotuunganisha sio ile iliyokuwa inahubiri chili na uadui
 
Fiction not fact
 
Mkuu vipi mbona ulipotea sn .Huwa una makala nzuri Sana.Tunazihitaji Sana maana inaonekana ulimfahamu vizuri sana malehemu JPM.
 
Yaani MATAGA mnanichekesha. Inaonekana hamjaamini kuwa mtakatifu wenu yuko futi 6 chini! Kubalini maisha yaendelee. Wenzenu tumeshafungua ukurasa upya!
 
Mfuate jeipiemu

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kikwete hakuchukua pesa za almashauri. Makusanyo yake ni m800 mpaka m700 kwa mwezi.

One of the best president. Asante MUNGU kwa JK.

UTAWALA UMEBADILIKA NA NCHI ITAENDELEA TU HATA KELELE KAMA HIZI ZIKIPIGWA.

RIP JPM.
 

Kufikiri JK kurudi ni sawa na kusema Raisi Samia hana nguvu kitu ambacho sio kweli. Huyu Mama kwa nguvu ya katiba anaweza kufanya lolote pale.
 
Kikwete hakuchukua pesa za almashauri. Makusanyo yake ni m800 mpaka m700 kwa mwezi

Waziri wa Kikwete wa TAMISEMI mama Hawa Ghasia unafikiri alikuwa anamkusanyia nani Fedha toka kwenye Halmashauri? Kama Kikwete atainfluence Serikali ya huyu mama ndio mwanzo na mwisho wake!!! DO NOT SAY YOU WERE NOT WARNED! TRANSITIONS ARE ALWAYS VERY TRICKY!!!!
 
Mwanzo na mwisho wake unamaanisha nn boss?

Wakati unanipa jibu ukumbuke hii ni nchi, na nchi ina utaratibu wa kuishi na maraisi wastaafu. In short zisiwe conspiracy tafadhali
 
Jk huyu jamaa hata ukimsikiliza tu hotuba zake unaona kabisa mzee ana mambo fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…