Yawezekana Dudubaya Yuko Sahihi(?)

Yawezekana Dudubaya Yuko Sahihi(?)

Dudubaya yeye toka moyoni kashajitanabaisha kua hawapendi watu wa clouds media hasa Ruge na watangazaji wengine, anaona hana haja ya kudanganya kwa watu bora aseme ukweli wake ambao probably haukutaka kusikilizwa na watu wengine hasa kwa wakati huu mzito, ukweli wake yeye hampendi marehemu na anaamini marehemu alikua mtu mbaya kwake, hana haja ya kujibadilishia yeye mwenyewe mara tu baada ya mtu yule kufariki, na iko wazi hatukutegemea kama dudu asifurahie majonzi na mambo mabaya ya wana clouds.
Moja ya waombolezaji wakubwa wa msiba wa Ruge ni Konk master.
1. Simjui ni kabila gani jama lakini tukumbuke kuna utani....
2. Kaombolezea nyumbani hadi kituo cha polisi
3. Anaomboleza kumkosa adui ambaye anadhani madhila yake yote ni sababu ya marehemu! hofu yake ni kesho yake atamsingizia nani? na kaipata kazi ya kutafuta adui mwingine ili maisha yaende.
Nini hasa tufanye ili tuwe jamii iliyostaarabika na kuheshimu kila hisia ya mtu kwa uvumilivu mkubwa ikiwezekana turekebishane pasipo chuki na kuumizana? DAB na wengine tumewanyoshea vidole kuwa ni wanafiki walimuumiza akiwa hai; na hili povu kwa konk latoka wapi?
Ukweli ni kwamba Ruge alikuwa kiongozi imara na bora sana.... watu wote wanalihisi pengo aliloacha kila mtu kwa namna yake.
 
Me namshangaa sana sijui katumwa na boss wake pt ht sielewi unasema mwili mfu kwa kuwa unajua hana madhara shenzi huyu dudu baya fala kabisa
Alichokifanya ni zaidi ya umama mseme mtu akiwa hai na asikie kama kubadilika abadilike, sasa kumsema angali mfu for what,au anatuambia sisi tulio hai.
Jamaa kiazi kweli huyu na nanga mtiifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi marehemu wanajisafisha hahahaha you people are insane for real and it's very sad to see my fellow tanzanians like that.
Namaanisha clouds ni ofisi ina namna ya kuhifadhi data, ni juu lao kumsafisha Ruge kwenye hili dai la dudu baya kuhusu mikataba , usisome kama chekechea ushakuwa mkubwa , marehemu anapewa cheo ata kama amekufa na anaweza vuliwa vyeo ata kama amekufa ni namna tu ya kuprove mambo
 
Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana. Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake. Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.Warumi 12:19-21
Tunazungumza habari ya kuzungumzia maiti ww unaleta habari ya visasi ? nani kakwambia kila anaemzungumzia maiti ana kisasi?
 
1 Thessalonians 4:13–18
Embed

The Coming of the Lord
13 But we do not want you to be uninformed, brothers, about those who are asleep, gthat you may not grieve as others do hwho have no hope. 14 For isince we believe that Jesus died and rose again, even so, through Jesus, God will bring with him jthose who have fallen asleep. 15 For this we declare to you kby a word from the Lord,4 that lwe who are alive, who are left until mthe coming of the Lord, will not precede those who have fallen asleep. 16 For nthe Lord himself will descend ofrom heaven pwith a cry of command, with the voice of qan archangel, and rwith the sound of the trumpet of God. And sthe dead in Christ will rise first. 17 Then we who are alive, who are left, will be tcaught up together with them uin the clouds to meet the Lord in the air, and so vwe will always be with the Lord. 18 Therefore encourage one another with these words.
Mimi nakuuliza habari ya kuzungumzia maiti wewe sijui ata unajibu vitu gani!!!!!
 
Msamehe bure babe inawezekana hajui na andiko hajasoma kakimbilia kukomenti

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpatage mda wa kusoma nani kakwambia mtu aliekufa hawezi kuprove wrong? ni juu yao clouds kuonyesha mikataba basi dudu baya atakuwa ameshindwa kwenye hili na Ruge(marehemu) atakuwa ameshinda mambo madogo haya mpaka tuanze kushikiana bakora
 
Namaanisha clouds ni ofisi ina namna ya kuhifadhi data, ni juu lao kumsafisha Ruge kwenye hili dai la dudu baya kuhusu mikataba , usisome kama chekechea ushakuwa mkubwa , marehemu anapewa cheo ata kama amekufa na anaweza vuliwa vyeo ata kama amekufa ni namna tu ya kuprove mambo
Ebu ngoja atoke uko jela alafu tuone Atatajirika? Si kasema ruge alikua anawazulumu haya kashaenda wawe matajiri sasa

Clouds hawana haja ya kuprove kwa mtu yeyote, hao walalamikaji walitakiwa wakashtaki mahakamani huki sasa ndio ushahidi ungepelekwa lakini kupiga kelele instagram na kutaka kampuni kubwa kama hiyo ijisafishe kwa lossers ni vigumu na bora walivyonyamaza kimya sababu kubishana na mjinga na wewe unakua mjinga zaidi.

Sheria zipo bado hawajachelewa sababu sio Ruge pekee mwenye kampuni kuna boss mkubwa Kusaga nae yupo.
 
Mpatage mda wa kusoma nani kakwambia mtu aliekufa hawezi kuprove wrong? ni juu yao clouds kuonyesha mikataba basi dudu baya atakuwa ameshindwa kwenye hili na Ruge(marehemu) atakuwa ameshinda mambo madogo haya mpaka tuanze kushikiana bakora
Unawataka clouds waoneshe mikataba kwa nani?? mahakama ya instagram au ya jamuhuri?? mwambieni huyo psycho na wengine wanaomsapoti wakaifungulie mashtaka clouds media kutukana mitandaoni hakusaidii kitu.
 
Ebu ngoja atoke uko jela alafu tuone Atatajirika? Si kasema ruge alikua anawazulumu haya kashaenda wawe matajiri sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau wakubwa wa muziki sasa hivi ni watoto na vijana wa 20's na early 30's sasa huyo psycho hata akirudi atamuimbia nani hahahaha yeye ashike jembe akalime tu sio lazima kila mtu awe msanii na wakumbuke kila zama na zama zake.
 
Mimi nakuuliza habari ya kuzungumzia maiti wewe sijui ata unajibu vitu gani!!!!!
What is customary in Islam is that the duty of the Muslim is to pray for their dead, to give charity on their behalf, to mention their good qualities and refrain from speaking of their bad qualities… hii dini yangu sasa kama wewe sio dini hii unahaki ya kuangalia vitabu vingine kama inaruhusu kutukana maiti sawa tu lakini sio Waislam.
 
Unawataka clouds waoneshe mikataba kwa nani?? mahakama ya instagram au ya jamuhuri?? mwambieni huyo psycho na wengine wanaomsapoti wakaifungulie mashtaka clouds media kutukana mitandaoni hakusaidii kitu.
Hii ni kuonyesha kuwa hakuna mikataba hivyo dudubaya kasema kweli
 
Clouds hawana haja ya kuprove kwa mtu yeyote, hao walalamikaji walitakiwa wakashtaki mahakamani huki sasa ndio ushahidi ungepelekwa lakini kupiga kelele instagram na kutaka kampuni kubwa kama hiyo ijisafishe kwa lossers ni vigumu na bora walivyonyamaza kimya sababu kubishana na mjinga na wewe unakua mjinga zaidi.

Sheria zipo bado hawajachelewa sababu sio Ruge pekee mwenye kampuni kuna boss mkubwa Kusaga nae yupo.
Kuna mengi tu wamejisafisha kwa kelele za instagram iweje ili la mikataba kona kona ziwe nyingi
 
Je dudubaya ni toilet paper?

Wanamtumia kwenye mabifu kwa ahadi waliyokubaliana halafu wanamgeuka.

Ref. Kuna post ya mwaka 2017 SHIGONGO analalamika Ruge(rip) kamtumia DUDUBAYA kwenye kipindi cha Shilawadu kumchafua SHIGONGO.
 
Back
Top Bottom