Mkuu umekosea kuniquote au umezamiria?All in all tukiacha chuki Mwendazake ametufanyia Mambo mengi yenye tija Kama Taifa...Tukubali hakua mwanasiasa mzuri kwaio nawashauri vijana wa bavicha muache chuki mzee wetu apumzike kwa amani.Tunajua aliwabana Sana mnahasira nyingi poleni basi ,mrudi kwenye kazi yenu Sasa ya kukosoa,kuibua madudu ,tulijenge Taifa.sio huu ujinga mnaofanya Sasa ivi mmepewa nafasi Sasa itumieni.
Toa maoni yako kwenye thread ukisema mtanange unaendelea alafu kimya unakua hutendi haki mkuu .mawazo yako muhimuMkuu umekosea kuniquote au umezamiria?
Mkuu naona Mheshimiwa amesikia ushauri wako na ameufanyia kazi. Wabobezi wa diplomasia wanarudi Wizarani[emoji28][emoji28]Wizara ya mambo ya nje ni ya kufumuliwa yote kwa kweli
Haikuwa wizara inayojua diplomasia, wao walijikita zaidi katika kutunishana misuli na majirani, matifa ya nje na taasisi za kimataifa
Kasikilize hotuba za Kabudi Bungeni na akiwa anaongea na Waandishi mambo ya Diplomasia ndio utajua kweli hakua mtu sahihi
Zulumati NSSF..ulishakutwa na hili jamboNauliza tu kwa wenye uzoefu na mambo ya teuzi
Naelewa kwamba kila zama na kitabu chake lakini naona kama mama anapata kazi ya ziada kuteua tena.
Kazi Iendelee!
Kesho ni Pentecoste.
Kama alivyo liokota li Samia? Pathetic hujui hata kuongoza familia unakuja kurusha matako jf.Magufuli alikuwa akiokota majitu Majalalani huko na kuyapa kazi za heshima
Matokeo yake nchi Ikawa na Siasa na Sera ya Mambo ya Nje ya Hovyo na Chafu kama jalala...
Una uhakika Mama anawahusisha au anashaurika? Kwa ushahidi upi?Alikuwa hashauriki, hili aliliweka bayana mwenyewe
Wengi wameshasahau... "... tena ukinishauri ndio umeharibu kabisa!!"Alikuwa hashauriki, hili aliliweka bayana mwenyewe
Daaah...! Uwe na busara hata kidogo mzee hata Kama una chuki hii imeexceed limit
Sisi wenyewe tunamshauri hapa kupitia mitandao, na anakiri kupokea ushauri wetu na kuufanyia kaziUna uhakika Mama anawahusisha au anashaurika? Kwa ushahidi upi?
Basi hongereni. Mshaurini basi amteue Lissu.Sisi mwenyewe tunamshauri hapa kupitia mitandao, na anakiri kupokea ushauri wetu na kuufanyia kazi
Magufuli hakuwa ntu wa rongorongo ndio maana hakupenda kushirikisha maamuzi yake watu wa ajabu ajabuNauliza tu kwa wenye uzoefu na mambo ya teuzi
Naelewa kwamba kila zama na kitabu chake lakini naona kama mama anapata kazi ya ziada kuteua tena...
Magufuli ni rais wa kuigwa barani Afrika na ulimwenguniJiwe alikuwa na roho mbaya kama jiwe
Kumbe unajua kuna mwenye sifa katika nafasi utakayoipenda wewe, ebu fikisha huo ushauri na wewe utimize wajibu wakoBasi hongereni. Mshaurini basi amteue Lissu.
Chuki isizidi akili na uwezo wa kujenga hoja.Ameandika rubbishLimit ya chuki ni ipi??
Mbona hao hao wa Mwenda zake bado wako kazini asilimia 90? Mama anacho fanya ni kuwabadilishoa vituo ila wako kaziniNauliza tu kwa wenye uzoefu na mambo ya teuzi
Naelewa kwamba kila zama na kitabu chake lakini naona kama mama anapata kazi ya ziada kuteua tena.
Kazi Iendelee!
Kesho ni Pentecoste.
Lakini wako kazini na kama kuna walio pigwa chini na Mama basi ni wachache mno, ila asilimia kubwa wako kaziniMagufuli alikuwa akiokota majitu Majalalani huko na kuyapa kazi za heshima
Matokeo yake nchi Ikawa na Siasa na Sera ya Mambo ya Nje ya Hovyo na Chafu kama jalala...
Utawala wa Jiwe na diplomasia wapi na wapi mkuuDiplomasia ni nini, ni kukubali matakwa yote ya wazungu au kusimamia mikakati ya watanzania.. Kama diplomasia ya Tanzania ilikua mbaya.. Ya Marekani inayovamia nchi za watu ipo kundi gani. Chuki zinawafanya mshindwe kufikiri. Hakuna hata balozi moja iliyofungwa halafu mnasema diplomasia ilikua mbaya